Jama wataalamu wa madish na chanel mnisaidieni! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jama wataalamu wa madish na chanel mnisaidieni!

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by G spanner, Mar 18, 2012.

 1. G spanner

  G spanner JF-Expert Member

  #1
  Mar 18, 2012
  Joined: Mar 30, 2011
  Messages: 426
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Nipo mbeya natumia ungo aina ya gulf star na decoder ni mediacom kuna fundi alikuwa ananirekebishia channel cha ajabu zimekubali channel za ipp tu itv eatv na capital pamoja na mozambique kwa mbali ila tbc, star , chanel ten na zingine zimegoma je nifanyeje nipate kupata tbc, star na nyingine. Nawasilisha!
   
 2. twatwatwa

  twatwatwa JF-Expert Member

  #2
  Mar 18, 2012
  Joined: Sep 19, 2011
  Messages: 2,036
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Ingiza freg hizi 3891v4445tbc 3885v4900startv 3906v2849chten 3780v1666imantv zikigoma jaribu 4090v3680 ikigoma na hii basi risiva yako au lnbf kimoja wapo kitakua kinaitilafu
   
 3. M

  MAKAH JF-Expert Member

  #3
  Mar 19, 2012
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 1,598
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  kama umeingiza freq imeshindikana inaweza kuwa ni orientation ya dish - aidha hapo2 lilipo kupandisha juu au chini au kulizungusha. mtafute huyu atakusaidia: 0766939347
   
 4. CAMARADERIE

  CAMARADERIE JF-Expert Member

  #4
  Mar 19, 2012
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 4,427
  Likes Received: 158
  Trophy Points: 160
  Dish ni zaizi gani Futi 6 au 8?
   
 5. G spanner

  G spanner JF-Expert Member

  #5
  Mar 19, 2012
  Joined: Mar 30, 2011
  Messages: 426
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  ni dish la futi 6.
   
 6. CAMARADERIE

  CAMARADERIE JF-Expert Member

  #6
  Mar 19, 2012
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 4,427
  Likes Received: 158
  Trophy Points: 160
  Nunua la futi 8
   
 7. Fatma Bawazir

  Fatma Bawazir JF-Expert Member

  #7
  Mar 19, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 499
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  hapo hapo uliposhika ITV legeza scrow ya LNB turn right LNB yako kidogo halafu kaza srew tazama TBC imeingia kama bado zungusha tena LNB yako kidogo halafu angalia imeingia kama bado zungusha tena mpaka itaingia TBC na SterTV yani usiishushe chini LNB wala usiipandishe juu unatakiwa uizungushe tu ili iwe nusu horizonto na nusu iwe vertical ziwe nusu kwa nusu
   
 8. BinMgen

  BinMgen JF-Expert Member

  #8
  Mar 19, 2012
  Joined: Jun 18, 2008
  Messages: 1,816
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  Dah! mwanangu 6ft siku hizi inasumbua.
   
 9. gkiwango

  gkiwango Member

  #9
  Mar 19, 2012
  Joined: Oct 25, 2011
  Messages: 87
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 15
  Fuata ushauri huu ikishindikana itabidi uamue moja kupata channel za vertical 2 au horizontal 2
   
Loading...