Msaada:nahitaji kufahamu bei ya Processor ya computer. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada:nahitaji kufahamu bei ya Processor ya computer.

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by knownless, Mar 17, 2012.

 1. knownless

  knownless Senior Member

  #1
  Mar 17, 2012
  Joined: Dec 23, 2011
  Messages: 116
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Wakuu naamiini mu wazima wa afya.
  Mimi sio mtaalamu wa mambo ya computer,so msaada wenu unahitajika kwa hili. Processor ya computer(HP-COMPAQ) yangu imeharibika hivyo naomba kufahamishwa bei yake ikiwa MPYA au USED.
  Kama kuna information nyingine za muhimu kuhusiana na Processor plz naomba kuelimishwa,naimani nitasaidiwa hapa.
   
 2. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #2
  Mar 17, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  P4 ni btn 70---80
   
 3. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #3
  Mar 17, 2012
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Processr imeharibika!!!!!!! Sio kwamba unataka ku upgrade. Ebu nijuze nini kimeufanya ujue kuwa processor hasa ndiyo ndiyo imeharibka na sio kifaa kingine.

  Usije ukaagiza Porcceosr na bado mashine kaendelea kasumbua tu. Zaidi ya Kutaja HP compaq taja Model ili ileweke inatumia Ubao mama(MOBO specs) wa aina gani ambao unaweza kusaidia kuelewa aina ya Procssor yako.

  Otherisiwe kimbilio kwanza nenda kwenye Tovuti ya HP download maintance manual. Kama objective yako sio Kupgrade usikimbiie kununuaa Porccesor.
   
 4. knownless

  knownless Senior Member

  #4
  Mar 18, 2012
  Joined: Dec 23, 2011
  Messages: 116
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  gafla iligoma kuwaka ikabidi niipeleke kwa fundi ambaye aligundua kuwa processor iliyokuwemo imeharibika....alipo jaribu nyingine ndo ikawaka,so ndo nikauliza hii kitu inauzwaje?
   
 5. knownless

  knownless Senior Member

  #5
  Mar 18, 2012
  Joined: Dec 23, 2011
  Messages: 116
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  asante mkuu
   
 6. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #6
  Mar 18, 2012
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 0
  Hiyo komputer yako kama ni ya kitambo, toka enzi za pentium nakushauri ununue mpya kaka; hata kama budget inabana, badala ya kununua processor kwa 60> unaweza ukanunua cpu used nzima.
   
 7. knownless

  knownless Senior Member

  #7
  Mar 19, 2012
  Joined: Dec 23, 2011
  Messages: 116
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  ha ha ha! kama vile ulikuwepo mkuu,ni Pentium M.....duh! kuna hitajika maamuzi magumu kufanyika hapa.
   
Loading...