Live ATN:MJADARA WA MFUMO WA DIGITAL WA TV | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Live ATN:MJADARA WA MFUMO WA DIGITAL WA TV

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by King Kong III, Mar 17, 2012.

 1. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #1
  Mar 17, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,400
  Trophy Points: 280
  Wapo wataalamu wa TCRA wakifafanua!!

  Nawasilisha
   
 2. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #2
  Mar 17, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,400
  Trophy Points: 280
  Vinga'amuzi vyote local channel zitakua free,ila kama unataka added channel itabidi ulipie,makampuni matatu ndio yamepewa leseni ya kurusha
  1.TB
  2.TING
  3.STARTimes

  Ameshauri ukienda kununua TV jitahidi kununua iliyoindikwa DVBT Tuner kwan hyo ndio itakua na inbuilt dekoda kwahyo hautoitaji kingamuzi kupata local channel.
   
 3. twatwatwa

  twatwatwa JF-Expert Member

  #3
  Mar 18, 2012
  Joined: Sep 19, 2011
  Messages: 2,032
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  Madishi je ?
   
 4. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #4
  Mar 18, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,400
  Trophy Points: 280
  Madishi imekula kwenu kwani wamesema ni mifumo miwili tofauti,madish na dekoda zake ni kung'amua signal za satelite lkn hizi nyingine ni dekoda maalumu kwa kung'amua signal za terrestrial.
   
 5. BinMgen

  BinMgen JF-Expert Member

  #5
  Mar 18, 2012
  Joined: Jun 18, 2008
  Messages: 1,816
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  madishi yataendelea kupeta kama kawaida, hayahusiki na mabadiliko hayo.
   
 6. M

  Mchakatoh JF-Expert Member

  #6
  Mar 18, 2012
  Joined: Dec 21, 2011
  Messages: 257
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Sa hawa jamaa wana mpango gani hku mikoan...maana tunawaskia tu kwenye majiji au mabadiliko hayatuhusu sisi wamikoani?
   
 7. twatwatwa

  twatwatwa JF-Expert Member

  #7
  Mar 18, 2012
  Joined: Sep 19, 2011
  Messages: 2,032
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  Hawa jamaa zaidi ya matapeli wanasema mwisho dec wakati miundombinu hakuna itawezekanaje kufika kijiji wakati mjini kwenyewe bado uko mbagala aishiki vizuri madish ayachagui pa kushika hata huku kwetu kimambira tunawapata kwa satalite
   
 8. twatwatwa

  twatwatwa JF-Expert Member

  #8
  Mar 18, 2012
  Joined: Sep 19, 2011
  Messages: 2,032
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  Hawa jamaa zaidi ya matapeli wanasema mwisho dec wakati miundombinu hakuna itawezekanaje kufika kijiji wakati mjini kwenyewe bado uko mbagala aishiki vizuri madish ayachagui pa kushika hata huku kwetu kimambira tunawapata kwa satalite
   
 9. B

  Bukyanagandi JF-Expert Member

  #9
  Mar 19, 2012
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 7,534
  Likes Received: 3,869
  Trophy Points: 280
  Mkuu item No.1 ndiyo wakina nani tena! Kuna dhana potofu ambayo inaenezwa kutisha watu eti: TV ambazo hazina tyuna za digitali ifikapo mwaka kesho wazitupilia mbali zitakuwa azina kazi tena!

  Ukweli wa mambo kwamba wanachopashwa kufanya ni kununua kidude kinacho julikana kama set-top-box ambacho kitaziwezesha TV zao kuona channel ambazo zinatumwa kidijitali, bei ya kidude hicho ni ndogo sana, kwa hiyo hakuna haja ya kuingia gharama ya kununua TV nyingine mpya.
   
 10. i pad3

  i pad3 JF-Expert Member

  #10
  Mar 19, 2012
  Joined: Mar 16, 2012
  Messages: 1,520
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  kwei? pitia vizuri notice zako
   
Loading...