Insert Smart Card Problem in Hp Compaq nc 6220

ggkitangala

Member
Mar 30, 2011
9
1
Wakuu! Nina Laptop model Hp compaq nc 6220,
Kila nikiwasha inaonesha ujumbe wa "insert Smart Card" na zamani nilikuwa natumia bila hiyo smart card, Baada ya ujumbe huo haiendelei tena kuwaka, Mda kidogo inajizima kwasababu haijaipata smart card, nimejaribu kufanya settings za bios, bila mafanikio yoyote.
NAOMBA MSAADA WENU WAKUU KUITOA HII MESSAGE (insert smart card) ili kwamba laptop iboot kutoka kwenye hard disk kama zamani.

Natanguliza shukrani zangu za dhati.
 
ebu jaribua kuingia kwenye bios na u set computer i boot from hard disk kama first option
 
Mkuu nimejaribu kuchange boot sequence na kuweka hard disk firs boot, pia nimerestore bios factory default settings. sijafanikiwa mkuu. labda kama kunanjia nyingine, naomba msaada.
 
Back
Top Bottom