YAMENIKUTA ATM ZA NMB nifanyeje | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

YAMENIKUTA ATM ZA NMB nifanyeje

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by 3squere, Mar 18, 2012.

 1. 3squere

  3squere JF-Expert Member

  #1
  Mar 18, 2012
  Joined: Aug 2, 2011
  Messages: 928
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Npo hapa mlimani chuo kwenye atm za nmb nilikuwa nikitoa pesa kwa pesa fasta cha kushangaza ni umeme kukatika wakati uduma inamalizikia na peza zilikuwa bado asjatoka msahada wakuu
   
 2. BinMgen

  BinMgen JF-Expert Member

  #2
  Mar 18, 2012
  Joined: Jun 18, 2008
  Messages: 1,816
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  dah!pole sana sijui itakuweje.
   
 3. 3squere

  3squere JF-Expert Member

  #3
  Mar 18, 2012
  Joined: Aug 2, 2011
  Messages: 928
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Kama kuna yeyote anaejua bahada ya umeme kurudi ni nn kitokea hile pesa itatoka au huduma itasimamishwa?
   
 4. nxon

  nxon JF-Expert Member

  #4
  Mar 18, 2012
  Joined: Jul 16, 2011
  Messages: 1,149
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  pole sana mkuu, ila cha kufanya kesho siku ya kazi wahi mapema katika tawi la benki husika ukawakilishe hilo tatizo lako
   
 5. Janja PORI

  Janja PORI JF-Expert Member

  #5
  Mar 18, 2012
  Joined: Jul 31, 2011
  Messages: 808
  Likes Received: 50
  Trophy Points: 45
  umeme umerudi wametoa blank receipt which means pesa bado ipo kijana
   
 6. M

  Malolella JF-Expert Member

  #6
  Mar 18, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 367
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Rudia kutoa kama umeme umerudi au nenda atm nyingine ukatoe.
   
 7. M

  Mpigaji JF-Expert Member

  #7
  Mar 18, 2012
  Joined: Feb 6, 2011
  Messages: 386
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mimi nipo hapa muda huu,pesa zimetoka nimekuchukulia!
   
 8. m

  mwanasubi Member

  #8
  Mar 18, 2012
  Joined: Mar 12, 2012
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ucjal hudma ilikua bdo haija malzka so pesa ako ipo subil umeme ulud na ukatoe
   
 9. M

  Monet New Member

  #9
  Mar 19, 2012
  Joined: Mar 18, 2012
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ulipoondoka umeme ulirudi nikaichukua hela yako fasta!
   
 10. mtzedi

  mtzedi JF-Expert Member

  #10
  Mar 19, 2012
  Joined: Dec 13, 2011
  Messages: 1,345
  Likes Received: 377
  Trophy Points: 180
  angalia salio kwanza halafu nenda tawi la nmb
   
 11. i pad3

  i pad3 JF-Expert Member

  #11
  Mar 19, 2012
  Joined: Mar 16, 2012
  Messages: 1,520
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  mla huliwa..uko tayari?
   
 12. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #12
  Mar 19, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,317
  Likes Received: 438
  Trophy Points: 180
  ATM zimeunganishwa na UPS/backup hivyo huwa ni suala la muda mfupi.labda kama ni network problem
  hata hivyo net ikikata system itatoa catd na kukuambia muamala haukukamilika
   
 13. ntamaholo

  ntamaholo JF-Expert Member

  #13
  Mar 19, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 10,144
  Likes Received: 2,104
  Trophy Points: 280
  hakuna mashime ya dharura? kama hazijatoka, basi usihofu, kuna kipindi unakuta kabisa inahesabu na unapewa rist lakini pesa hakuna, ukihama hapo ukaenda sehemu nyingine unakuta balance yako haijapungua kitu
   
 14. ntamaholo

  ntamaholo JF-Expert Member

  #14
  Mar 19, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 10,144
  Likes Received: 2,104
  Trophy Points: 280
  cyber crime at wark, utapatikana kwa kuchukua pesa zisizo zako. Mwizi we
   
Loading...