Anayejua jins ya kujiunga na internet ktk cm za blackberry msaada. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Anayejua jins ya kujiunga na internet ktk cm za blackberry msaada.

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Dadio, Mar 28, 2012.

 1. Dadio

  Dadio JF-Expert Member

  #1
  Mar 28, 2012
  Joined: Mar 14, 2012
  Messages: 360
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Jaman na wana jf kama kuna mtaalaam wa bb phon anpe techniques za kujiunga na internet bila kununu bandle za makampun. Nataka niweze kutumia net hata kama nanunua mb 50 tu na syo zile za macampun et elf 30 mpaka 35. Msaada jaman.
   
 2. Original Pastor

  Original Pastor JF-Expert Member

  #2
  Mar 28, 2012
  Joined: Nov 14, 2007
  Messages: 1,256
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Hata mimi ninayo sijui jamani tuambieni
   
 3. Original Pastor

  Original Pastor JF-Expert Member

  #3
  Mar 28, 2012
  Joined: Nov 14, 2007
  Messages: 1,256
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Tujulisheni
   
 4. F

  FredKavishe Verified User

  #4
  Mar 28, 2012
  Joined: Dec 4, 2010
  Messages: 1,090
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Kwa mitandao ming lazma ulipie BIS kwa mwezi wik hata siku tatu
  Tigo ndo wako cheap kwa mwezi ni 20000
  Nenda kwenye msg andika BB30
  Tuma kwenda 15518
   
 5. Matope

  Matope JF-Expert Member

  #5
  Mar 28, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 539
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  Vodacom BIS services kwa mwezi ni 30,000/ andika kwenye sms BB30
   
 6. vanmedy

  vanmedy JF-Expert Member

  #6
  Mar 28, 2012
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 2,245
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  Ukishajiunga na hiyo net we dowload. " operamini" bundle ikiisha try to surf using that opera, ila u'll not be able to use bbm, and other benefits enjoyed by the bundlle users...
  Mi nna ka bb curve9300 na inagonga mzigo kama kawa na cjawahi kujiunga na hayo mabundle ya buku ishirini wala nini..
   
 7. MKATA KIU

  MKATA KIU JF-Expert Member

  #7
  Mar 28, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 2,167
  Likes Received: 966
  Trophy Points: 280
  Tatizo la wabongo tunapenda kuiga vitu tusivyo na uwezo navyo eti fashion, research in motion wanadai corpolate people ndio targeted customer wao and business people who are very busy and being online all time on e mails is essential to them that's y wakatengeneza bb na kuweka bb service hili wapate access ya e mails direct popote walipo as inakuja kama message as simu mda wote ipo online, sasa wenzangu na mimi ambao hata kulipia elfu 30 ishu tunafata nini huko, as blackbeery haina cha ajabu than communications through internet to be accessible anytime, ukiwa na bb hauna service haina tofauti na simu za kawaida tena za bei rahisi

  Bora mimi na nokia tochi yangu wala haina presha as sipo busy that much to be online all time, e mails zenyewe inaweza ikapita wiki bila kutumiwa wala kutuma ya nini kuiga mtu kila dakika anasoma e mail mpya plus reports and so on as bb access excell sheets and pdf formats
   
 8. utakuja

  utakuja JF-Expert Member

  #8
  Mar 28, 2012
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 818
  Likes Received: 430
  Trophy Points: 80
  Ok Jibu. nihilli it's IMPOSSIBLE!!! iweke hiyo akilini ..chuku computer download opera mini for blackberry install kwakutumia desktop manager utaweza tumia na pia ubertweeter download from app world haiitaji BIS Lakini Facebook, Maps, and etc lazima BIS Utake usitake RESEARCH BEFORE YOU BUY
   
 9. utakuja

  utakuja JF-Expert Member

  #9
  Mar 28, 2012
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 818
  Likes Received: 430
  Trophy Points: 80
  and that's not true from Blackberry Torch,storm and Curve RIM Walitaka wapenetrate the youth market by adding social networking and BBM ikawaintergrated na music so the you can share their favourite music so BB ni no longer for business people
   
 10. achengula

  achengula JF-Expert Member

  #10
  Mar 28, 2012
  Joined: Jul 30, 2009
  Messages: 386
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  Mbona kuna nokia unazoweza ukapata email instantly na ukasoma na kuandika word, excel au power point na ukasoma PDf documents mfano mimi natumia ka C5 kangu kanadunada hivyo vyote na amini ukipta C7 or 8 utapeta zaidi
   
 11. G

  Ginner JF-Expert Member

  #11
  Mar 29, 2012
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 1,139
  Likes Received: 263
  Trophy Points: 180
  Aliesema ts imposible nani......nina bold 9700 tangu niinunue sijawai jiunga na iyo kitu BIS na still ninao uwezo wa kubrowse bila restriction yoyote ile kwa kutumia both Blackberry browser au operamini. Ofcoz huwa siwezi enjoy zile services za bb ila sijaona shida katika surfing.....kwakifupi naweza sema inawezekana kama ukifanikiwa kuitoa IT policy ya hawa jamaa
   
 12. Biohazard

  Biohazard JF-Expert Member

  #12
  Mar 30, 2012
  Joined: Aug 21, 2011
  Messages: 2,002
  Likes Received: 286
  Trophy Points: 180
  WW umeitoaje?
   
 13. G

  Ginner JF-Expert Member

  #13
  Mar 30, 2012
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 1,139
  Likes Received: 263
  Trophy Points: 180
  Sikuwahi kuitoa maana nimeinunua ikiwa hivi....ofcoz sipati huduma za application nyingi designed kwa bb kama you tube, facebook, twitter, myspace, ika google maps, operamini, n many others zina work bila shida...ebu google jinsi ya kuondoa IT policy ya bb inaweza ikasaidia...ni kitendo cha kufuta folder moja tu kwenye system ya simu linalohusika na iyo kitu
   
Loading...