Nokia E61i vs Samsung S5830i

Nokia E61i vs Samsung S5830i

KIBURUDISHO

JF-Expert Member
Joined
Mar 28, 2011
Posts
1,002
Reaction score
278
Wakuu mambo vp? Niko hapa kuwauliza wataalamu wa simu kati ya hizo hapo juu ipi ni bora kuliko nyingine na kwa kuhusu bei Nokia inauzwaje na Samung inauzwaje?
 
kaka yani hii sio a fair competition at all Samsung iko kwenye another level kama unacompare corolla na Lamborghini
 
kaka yani hii sio a fair competition at all Samsung iko kwenye another level kama unacompare corolla na Lamborghini

samahani bos sijakupata vizuri unaweza ukanifafanulia kuhusu spec za hizo simu?
 
Nokia e61 mpango mzima kasoro haina camera..samsung hamna kitu.
 
Kubari ukatae hakunaga kama Nokia ndo simu bora na nirahisi kutumia kwa mtu yeyote yule
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom