MSAADA WA PC INSPECTOR smart recovery

MSAADA WA PC INSPECTOR smart recovery

Chantaburi

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2012
Posts
749
Reaction score
194
Wataalam naombeni msaada kama kuna mtu anayo link ya hiyo software hapo juu naomba anisaidie ni kwa ajili ya kuitumia kurecover deleted file kwenye hard drive pamoja na kwenye memory card. Natanguliza shukrani.
 
Kama unayo Bit Torrent au U Torrent Bonyeza hapa ku download hiyo PC Inspector smart Recovery PC Inspector Smart Recovery - FREE Torrent Download - ExtraTorrent.com The World's Largest BitTorrent System
Kama huna hiyo Bittorrent Kui Download bonyeza hapa Download - BitTorrent - Delivering the World's Content au Download hii U Torrent bonyeza hapa µTorrent - a (very) tiny BitTorrent client kisha nipe feedback.

Mkuu nashukuru sana nimefanikiwa kuidownload nitaifanyia kazi.
 
@matu PC inspector sio nzuri sana,tafuta software inaitwa pareto logic,iyo inafukua kila kitu.its perfect
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom