wataalamu ushauri wenu unahitajika tafadhali!

wataalamu ushauri wenu unahitajika tafadhali!

mtamanyali

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2011
Posts
1,161
Reaction score
616
habari wana jf, kuna jamaa yangu amepangiwa kikazi singida wilayani Iramba. toka aende huko hajawahi kuangalia tv. swali ni kwamba je ni aina gani ya king'amuzi anachowezaa kutumia huko? au ni ungo tu? na wapi atapata kama kipo king'amuzi. natanguliza shukrani zangu za dhati.
 
Back
Top Bottom