Ujumbe lukuki tigo kuna ulazima au wizi mtupu!

Ujumbe lukuki tigo kuna ulazima au wizi mtupu!

The Listener

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2012
Posts
993
Reaction score
217
Mimi ni mteja wa tigo toka mwaka 2000 nilipojiunga kwa mara ya kwanza enzi zile za mobitel. Hivi karibuni nimekuwa nikipata bugudha kubwa sana kwani nimekuwa nikitumiwa mimeseji kibao toka kampuni ya tigo na wakati mwingine huwa sianahaja nazo na zimekuwa zikinikera sana. Niko mbioni kutoka nduki ila napenda kujua ni sawasawa kutumiwa mimeseji isiyo na kichwa wala miguu?
 
Back
Top Bottom