Kukatika kwa internet ya airtel

Kukatika kwa internet ya airtel

mpinga shetani

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2010
Posts
3,234
Reaction score
961
Hivi ni mimi peke yangu au hawa Wazee wa 3.75G ya uwongo wameamua kukata Data Service tangu saa Mbili asubuhi leo.

Na kama ni hivyo kwa nini hawatoi taarifa?
 
Hata mimi ilinitokea... ila sasa hivi mambo safiiiiiiiiiiiiiiiii
 
With Great Power Comes Great Responsibility.....

Nadhani hawa jamaa wanataka ku-bite more than they can chew..., mpaka sasa service zao zimekuwa value for money ila naogopa hizi promotion zao na kuongeza wateja wasije wakazidiwa na kuanza kutoa poor service...., Ukweli nawaambia watapoteza wateja wote hata wale wazamani..., It does not matter how cheap your service is, if its a non starter what's the use
 
mi nilijua cmu yangu kimeo,
inaboa kiaina ingawa ikiwepo inakua fasta
 
Nipo A town hata mm pia i was facing the some problems!nimehamia vodacom
 
Nashangaa moden haiconect! Mbona hawatoi taarifa? Wanaharibu shughuli za watu
 
Nilikua Zantel, ghafla wakaleta uzushi kibao nikahamia Airtel..hawa nao uzushi mtupu kila mara inakata...sijui nchi hii ina laana gani kila kitu magumashi...
 
Dah mi ndo imerudi mda huuu, nlijua simu kimeo
 
Back
Top Bottom