Naomba msaada wa kutrace simu yangu Vodafone 858 smart :imeibiwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naomba msaada wa kutrace simu yangu Vodafone 858 smart :imeibiwa

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by newtonfox, Apr 5, 2012.

 1. newtonfox

  newtonfox Senior Member

  #1
  Apr 5, 2012
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 196
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 45
  samahani wana JF kunatatizo moja limejitokeza
  nilikua na simu Vodafone 858 smart: OS>android 2.2 floyo ,ilikua na GPS, speed ya net ilikua inasoma hadi HSPDA(4mbps) ,ilikua ina apps nyingi nyingi kwa kifupi nilisahau ya security au any phone tracing apps,Hiyo simu niliibiwa
  chumbani kwangu 29 march waliiloa kwenye dirisha pamoja na laptop samsung ya mteja wangu .......

  nilikua naomba msaada wa anya advanced IT au mtu yoyte mwenye uwezo wa kutrace cmu yangu labda hata kwa imei etc,taarifa polisi nilishatoa na RB ninayo,bia baadhi ya documentation ninazo so naomba msaada wenu thanks maaa mwenye laptop kanifikisha pabaya
   
 2. s

  sasatellin Member

  #2
  Apr 5, 2012
  Joined: Oct 4, 2009
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ulitakiwa uistall program fulani inaitwa lookout mobile security iyo ingesaidia kutrack adi location yake kabisa!! lakini swali ni hujaset ata ile mobile tracker inayokuja na android default?
   
 3. F

  Fofader JF-Expert Member

  #3
  Apr 5, 2012
  Joined: Sep 28, 2011
  Messages: 838
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 45
  We unakaa wapi wanakoloa simu dirishani? Pole sana.
   
 4. tumlack

  tumlack JF-Expert Member

  #4
  Apr 6, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 681
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  too late! Ilibid uwe na ant theft ktk cm yko..tena ingekuxaidia hata kupata no ya cm card iliyokua inserted kwa m2miaji wa sasa wa cm yko.
   
 5. Ishina

  Ishina Senior Member

  #5
  Apr 6, 2012
  Joined: Dec 27, 2011
  Messages: 170
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Mkuu, naomba utoe ufafanuzi kidogo kuhusiana na hii 'ant theft app', namna inavyofanya kazi. Je, kwa mimi mwenye IPHone 4, naweza kuweka hii app.?! Je inatofuati na ile 'Find Me app. ya IPhone?!
   
 6. tumlack

  tumlack JF-Expert Member

  #6
  Apr 7, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 681
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Kaka wew jarbu kudownload netqin antvirus inayo program ya ant lost,ambyo suddenly itatoa report pale 2 cm card yko itakapo badlishwa,pia unaweza send command ya kudelete kila ki2 na kupga lock cm yko ikiwa imeibiwa,pia utaweza pata no ya m2 anaye2mia cm yko xo kila lain itayo wekwa hewan ktk cm yko bac we utapata kujua namb inayo 2mia cm yko iliyo ibiwa,pia unaweza ku trace cm yko na ukajua ilipo..ingia netqin.com
   
 7. newtonfox

  newtonfox Senior Member

  #7
  Apr 8, 2012
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 196
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 45
  Nadhani vodacom watanisaidia nina mpango kwenda kwenye ofisi zao baada ya pasaka ,maana kuna wazo nimepata kwamba simu yoyote hile ikiwashwa inamtindo wa kusoma mnala wa mtandao uliopo karibuni wa hao providers(airtel,VODA etc)na simu inatuma information kwenye ule mlingoti mpaka kwa hao providers
  kama serial no ,device makers,device name na simcard no...etc,,...... na hapo ndipo inapata acces ya network so hawa jamaa ntawapelekea serial namba yangu ya simu na kuwaomba wanisaidie kupata namba ya mtumiaji wa simu yangu au ikiwezekana kublock iyo simu yenye hiyo serial no kuto access netwok kwa hiyo simu itakua just garasha au intanirudia kwa upelelezi zaidi

  dah nimemis mambo ya android OS...whatsupp app nadhani nikiipata lazima niweke netqin anti-lost
  >>>>>>>>>>>is that good idea or what <<<<<<<<<
   
 8. tumlack

  tumlack JF-Expert Member

  #8
  Apr 8, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 681
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Watakuxumbua...labda wataweza ku block tu..n hata wakiblock jamaa ataenda ku flash jiwe hlo..thn atatumia kam kam kawa
   
Loading...