teac kapex
JF-Expert Member
- Jan 23, 2011
- 470
- 136
jamani wadau wa jf naomba mnitoe ushamba cku hizi nackia kuna aina nyingi za cm zikiwemo symbian,iphone,ipad na nyingine nyingi ambazo nimekuwa nikikutana na maelezo yake humu jamvini sasa shida yangu nikujua ni ipi iliyo nzuri kwani mimi ni mpenzi mkubwa internet na sasa natumia bird w5000. nisaidieni