Sajo
Platinum Member
- Nov 8, 2010
- 4,526
- 8,200
ninatumia hiyo simu (BLACKBERRY STORM 9530) jana (11 april 2012) nilijiunga na data plan ya mwezi wakaniunganisha na kunitumia process za kuregista ili nitumie.. that niende MENU-OPTION-ADVANCED OPTION-HOST ROUTING TABLE-MENU-REGISTER NOW...nikafanya vyote na kuzima simu but nikawa sipati net..natumia TIGO NETWORK, asubuhi nimeenda ofisini kwao,wakaniambia simu za VERIZON WIRELESS ni hua zinafungwa pin na sio rahisi kuiunlock,kwamaba calls na sms utafanya tu kwa mtandao wowote but net ni mpaka verizon wireless tu..sasa hapo ndio naomba mnisaidie ,je kuna ukweli kuhusu hili au? na je kama ni kweli kua wanazilock,hakuna njia ya kuiunlock kweli?nisaidieni maana Blackberry bila net hakuna enjoyment tena