Configuring Push T Talk mobile service

Isaac Chikoma

JF-Expert Member
Oct 25, 2011
475
101
Nahitaji msaada kwa mwenye ujuzi wa namna ya kuconfigure huduma ya push to talk kwenye simu ya nokia, au confuguration settings .endapo kama huduma hii inapatikana hapa tanzania.
 
Wakati nanunua line ya boom club nikaona wameanzisha hio huduma airtel, wanasema mwezi wa kwanza ni bure then baada ya hapo kila mwezi utalipia shillingi 3000, namna ya kujiunga sikufatilia labda kama kuna mtaalam mwengine anaefahamu, kwa maelezo zaidi unaweza fika ofisi zao airtel
 
nifahamisheni nini maana ya hii huduma

Ipo kama ile huduma ya mail ya blackberry yaani emails zako zinakua kwenye simu na unapata instant(kama message) inakua sio kama ukiseti kawaida simu mpaka uwe online ndo email zinaingia

Hivo ndo nnavofahamu kama airtel walivoelezea sasa sijajua kama ndo push to talk yote inamaanisha hivo au ni just part tu ambayo airtel wameleta huduma ila ina function zaidi
 
push to talk ni huduma inayowezesha kutumia simu yako kama radio call,au walkie talkie,kwa umbali flani,kwa nchi za wenzetu huwa ni free,baadhi ya simu zina hii option utaona wameandika PTT.
 
Ipo kama ile huduma ya mail ya blackberry yaani emails zako zinakua kwenye simu na unapata instant(kama message) inakua sio kama ukiseti kawaida simu mpaka uwe online ndo email zinaingia

Hivo ndo nnavofahamu kama airtel walivoelezea sasa sijajua kama ndo push to talk yote inamaanisha hivo au ni just part tu ambayo airtel wameleta huduma ila ina function zaidi

nashukuru kwa hili pia si haba!
 
Back
Top Bottom