Wapi kuna fundi mwaminifu wa digital Camera kwa Dar?

Idimi

JF-Expert Member
Mar 18, 2007
14,967
10,461
Ndugu wanabodi, kamera yangu digital aina ya Sony imedondoka, lens ikiwa imefunguka katika standby mode. Inagoma kurudisha lens ndani kwa kuwa imepinda. Kwa anayejua fundi mzuri na mwaminifu wa kamera kwa Dar naomba anijulishe. Please help!
 
mkuu labda waulize fundi sim.mimi nina canon yangu kila fundi nayepelekea anasema hawezi lkn nipo huku porini(iringa).
 
nadhani tatizo ni zoomu, hata mim lishanitokea, ipo very delicate, ukibahatika kupata fundi akairepea ni bahati, ila hapo inabidi ununue nyingine (zoom) ambapo sio chini ya 50-60,000/= mtaa wa uhuru kariakoo nyuma ya maduka ya simu wapo mafundi wa kamera.
 
Ndugu wanabodi, kamera yangu digital aina ya Sony imedondoka, lens ikiwa imefunguka katika standby mode. Inagoma kurudisha lens ndani kwa kuwa imepinda. Kwa anayejua fundi mzuri na mwaminifu wa kamera kwa Dar naomba anijulishe. Please help!

nadhani tatizo ni zoomu, hata mim lishanitokea, ipo very delicate, ukibahatika kupata fundi akairepea ni bahati, ila hapo inabidi ununue nyingine (zoom) ambapo sio chini ya 50-60,000/= mtaa wa uhuru kariakoo nyuma ya maduka ya simu wapo mafundi wa kamera.

I'm not sure if you can repair kama tatizo ni lens or zoom., unless inaweza kukucost a lot sawa na gharama ya kununua mpya. I tried mine once and I couldn't.
 
Nilikuwa na sumsung VLUU pia ilikuwa na tatizo kama lako. Nimekuwa nikitafakari jinsi ya kupost hapa kuomba msaada ni vyema umetuwakilisha wengi. Kwa mimi binafsi niliipeleka kwa fundi mmoja pale posta nyuma ya NBC house anaitwa kagoma..ni fundi mzuri sana pamoja na kwamba aliishindwa ya kwangu nikaamua kwenda sumsung service center pale jmall hall amabao pia waliizidishia tatizo.. Labda nikushauri tu ungekwenda kwa sony dealers au kwa kagoma naona utaweza fanikisha
 
Back
Top Bottom