Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

𝟮𝟬𝟮𝟳 𝗸𝘂𝘁𝗮𝗸𝘂𝗮 𝗻𝗮 𝗴𝗮𝗿𝗶 𝘇𝗮 𝗸𝘂𝗽𝗮𝗮 Sio Hadithi tena kampuni ya Dutch Aviation kutoka uholanzi wameweka wino ya makubaliano na airport ya Twente kuweza kuweka safari za Anga fup fupi zisizo tumia hewa...
0 Reactions
5 Replies
479 Views
Ndg wadau ninaomba kuoata uelewa wa Hii technology ya Wall screen maana kuna sehemu nataka kuitumia.. Ninaomba msaada wenu kujua mambo yafuatayo: 1. Upatikanaji wake 2. Gharama yake 3...
0 Reactions
1 Replies
437 Views
Nilikuwa na account yangu ya Facebook nimeiunganisha na page yangu, kuna kupindi nikapoteza device niliyokuwa natumia hivyo nikasahau password yangu na hata namba niliyofungulia kwa usajiti wa...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
App mzuri kwenye iPhone
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Mambo vipi wanajamvi. Naombeni ushauri wenu wataalam wa sim za mkonini. Kwa bajeti hiyo sim ipi itanifaa?
4 Reactions
71 Replies
6K Views
Wandugu, Tafadhali kama kuna mwanajamvi yoyote ambaye anafahamu jinsi ya kununua vitu online naomba maelekezo. Asante! Mambo niaje wakuu, Natumaini wote mko pouwa kabisa, mi naomba msaada wenu...
0 Reactions
79 Replies
22K Views
Ni infinix zero ultra
1 Reactions
34 Replies
2K Views
Je una wasiwasi kuwa Kuna mtu anaweza kufuatilia kwenye Whatsapp yako bila wewe kujua ? Unahitaji kuongeza usalama zaidi kwenye Whatsapp yako. Kuna feature inaitwa two step verification kwenye...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Katika ubunifu ambao umefanikiwa sana Afrika ni mobile money hasa ikizaliwa kutoka Safaricom Mpesa. Ubunifu huu tofauti na ubunifu uliozoeleka kuanzia ulaya ukaletwa Afrika, huu ulitengenezwa...
12 Reactions
25 Replies
2K Views
Nahitaji kujifunza kuhusu mambo ya video editing, na nataman nipate mtu au watu ambao watakuwa kama waalimu wangu katika kunisimamia ili kufanikisha lengo langu. Aksanteni
0 Reactions
16 Replies
1K Views
Habari wakuu, niende moja kwa moja kwenye mada. Yeyote mwenye kujua applock nzuri kwa ajili ya ku lock files naomba anijuze ili na mimi niweze kuitumia kwenye simu yangu. Nimejaribu smart lock &...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Anajua jinsi ya ku turn off hiyo issues ya kusleep kwa smart tv anielekeze maana nimejaribu ku turn off timer lakini tatizo lipo pale pale
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari wakuu kama kuna yule mwenye anajua streaming software anitajia nikaitafute maana nimehangaika sana mpka nimechoka. Mwisho wa siku nikakumbuka huku jamiiforums. Msaada wenu please kama...
0 Reactions
3 Replies
572 Views
Waungwana msaada. Laptop aina ya HP elitebook. Gafla imegoma kufanya kazi upande wa mouse,katikati,left na right button pia. Lakini zile altenative keys na mouse zinakubali kufanya kazi. Kwenye...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Habari wakuu. Msaada kwa anayeelewa, ninunue PC gani, na yenye uwezo gani mzuri kwa budget yangu ya laki7? Mimi si mtaamu wa aina za PC na uwezo wake nisaidieni nisije kuingizwa chaka. natafuta...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Wadau, poleni na majukumu nilikuwa naomba mwenye uelewa wa kuunganisha smart tv na simu yaani kufanya mirror cast siku yangu ni Samsung A12, na tv ni hisense A4 series smart tv. Karibuni
1 Reactions
14 Replies
10K Views
Hbari za mda hu wana JF wote. Uzi huu unausu mambo ya simu, jinsi gani ya kuroot simu za android 6 nakuendelea kwa komputer au bila computer brand zote. Naomba mwenye kujua program inayo tumika...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Wadau habari zenu .. heading ni console nafahamu wapenzi wa video games mpo aware na hii kitu. Personally nimepitwa kushoto na hii kitu japo nimekuwa interesting now days na hio kitu, kuna mambo...
0 Reactions
25 Replies
7K Views
Habari wakuu, tangu jana nimekuwa nikijaribu kufanya malipo kadhaa online kwa kutumia kadi za Mastercard bila mafanikio, Mwanzoni nilikuwa natumia kadi za mitandao ya simu hola, ikabidi nitumie...
3 Reactions
10 Replies
2K Views
habari zenu wakuu naomba kwa mwenye ujuzi wa namna ya kufungua visa card ya tigo pesa anisaidie nimekwama kidogo asante.
0 Reactions
10 Replies
12K Views
Back
Top Bottom