SCREEN SIZE
Makampuni ya utengenezaji wa simu kama Iphone ,samsung, Xiaomi n.k yanaanza kuzingua kwa
utengenezaji wa simu wenye vioo vikubwa vya simu mpaka inasababisha mtumiaji kukerwa...
Habari wana-jamvi
Najua kuna watu wengi wanapenda kujifunza Electronics designing;wale walio choka ku-copy na ku-paste already made design;na hivyo wangependa wao wenyewe wabuni vya...
Hello Wana Technology wa kutengeneza tangazo la Biashara kwa kutumia hii mitandao ya kijamii.
Nina bidhaa zangu za HARDWARE ningependa kutangaza.
Kama kuna mtaalamu tuwasiliane please...
Huu ndo mfumo wa sayari achana kupitia attachment, achana na huo ambao unaouona kutokea NASA
A- sun
Jua haina umbo la duara kama tunavyoaminishwa, kwa lugha nyingine hakuna star yenye umbo la...
Watu wengi husema China iko mbali kiteknolojia na mimi pia niliamini hivyo lakini swali la kujiuliza ni kwa nini teknolojia kama ChatGPT haikuvumbuliwa China na badala yake sasa makampuni ya...
Unahitaji kutizama mpira kupitia simu yako.
Leo nakuambia njia rahisi ya kuweza kutizama mpira live kwenye simu yako kati ya Yanga Vs Usm final ya kimataifa Zaidi
Hii ni Zaidi ya UEFA ya...
Je Kuna ishara gani zitatokea kuonyesha kuwa simu yako inafuatiliwa [emoji116]
Kuna baadhi ya ishara zikitokea Kwenye simu jua kifaa chako kimeathiliwa na virusi , kimekua hacked ivyo upelekea...
Wadau habari za jioni. Samahanini kwa usumbufu, mwenzenu nimekumbwa na changamoto moja
Nilinunua king'amuzi cha dstv lakini cha ajabu duka niliponunulia waliniomba kwamba makarai(dish) ya dstv...
Android kila mara wanazidi kuwa imara sana tutegeme feature mpya Kali amazing zitakuja kwenye simu zetu za Android kuanzia version 14
1) Notification flashes
Kwenye Android 14 utakua na uwezo wa...
Hello bosses and roses....
Nahitaji Apple Mac mini m1, kwa anaeziuza au anaefahamu zinapopatikana hapa Tanzania naomba anijulishe.
Note: inahitajika ikiwa mpya sio USED
Ahsante
Kila siku watu wanaongelea simu kutoka brand hizi tu mara Samsung, iPhone, Xiaomi. Lakini wanaacha kuziongelea Nokia. Kuna baadhi ya simu za Nokia zinavutia
Ninachopendea kwenye hizi simu ni...
Whatsapp wanataka kuleta feature ya 𝘂𝘀𝗲𝗿𝗻𝗮𝗺𝗲 kwenye akaunti zetu, itaweza kumruhusu mtumiaji kuchagua unique username yake ambayo itakua official kabisa. Kwa sasa hii feature ipo Kwenye...
NAMNA YA KUKOKOTOA NGUVU YA PANGABOI WIMA LA KUKOKOTWA NA UPEPO.
Kukokotoa pangaboi linalokokotwa na upepo unahitaji kujua vitu vikubwa viwili
Nguvu ya upepo iliyopo na Ufanisi wa pangaboi...
Helicopter ni ndege inayotumia mbawa zinayozunguka juu (panga) kutengeneza 'lift' ili iweze kunyanyuka kupaa.
Kumbuka ndege ya kawaida inategemea kusukumwa na injini kwenda mbele ili mbawa zake...
Kampuni hiyo inayomilikiwa na Bilionea Elon Musk imepata kibali cha Mamlaka ya Chakula na Dawa ya Marekani (FDA) kufanya jaribio la kwanza kwa Binadamu baada ya kufanya upandikizaji huo kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.