Architecture Visualization in Tanzania(to all 3D Artists) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Architecture Visualization in Tanzania(to all 3D Artists)

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by javascript, Oct 27, 2012.

 1. javascript

  javascript Senior Member

  #1
  Oct 27, 2012
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 148
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Hi Fellas! I am a freelance 3D artist mostly working with Architecture visualization.

  Ningependa kuwajua watu wengine wanaofanya kazi zinazofanana na zangu... nimewatafuta sana facebook bila mafanikio. Hapa nimeweka picha ya baadhi ya kazi zangu(high resolution),
  A little Info, Residential house nimetumia Revit Architecture na Office building nimetumia ArchiCAD, katika zote hizi nimetumia 3ds Max kufanya rendering, Karibuni.

  Residential Villa
  Residential Villa.jpg

  Office Building
  Office Building.jpg
   
 2. mfianchi

  mfianchi JF-Expert Member

  #2
  Oct 27, 2012
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 7,940
  Likes Received: 1,498
  Trophy Points: 280
  Ni PM nikupe jina la nguli wa hayo mambo ,ni mchoraji majengo na interior designer kasomea chuo cha Ardhi
   
 3. javascript

  javascript Senior Member

  #3
  Oct 27, 2012
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 148
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  mkuu unaonaje ungemwaga jina tk wote tujuane
   
 4. mfianchi

  mfianchi JF-Expert Member

  #4
  Oct 27, 2012
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 7,940
  Likes Received: 1,498
  Trophy Points: 280
  Siwezi kuweka jina la mtu hapa peupee bila ridhaa yake,au subiri hapa watajitokeza na ndio maana hata wewe hujaweka jina lako hapa ,nafikiri anza wewe kuweka jina ndio wengine wafuate
   
Loading...