Kama bado hujui, dunia ya tech inakimbia faster kuliko mawazo ya wengi.
Na moja kati ya game changers ambazo watu wadogo wanazipuuzia ni Cloud Technology ☁️
— -
1. Cloud sio kwa makampuni...
Habari wanaJamiiForums
Karibu kwenye uzi wetu mpya unaolenga kila kitu kuhusu Digital Marketing!
Katika enzi ya kisasa ya kidijitali, kuelewa wa uuzaji wa kidijitali ni muhimu kwa biashara...
Naamini huenda umewahi kukumbana na changamoto ya kutofautisha dhana mbili muhimu sana katika ulimwengu wa mtandao: domain na hosting. Mara nyingi, watu huchanganya au kushindwa kuzielewa...
Hii simu imenivutia, japo upande wa Charger 18w,Resolution hauridhishi, pia haina memory card slot (sio ishu kubwa) Mimi si mtaalamu sana wa haya mambo. Pia si mpenzi wa picha, camera sio ishu...
Naombeni msaada, ninatumia IE version 8 lakini sasa nikiclick link ili tab nyingine ifunguke au media player link itokee etc tab/link inatokea lakini iko empty inasearch indefinately. Kama kuna...
Kwema hapo wakuu, nimekaa nje ya JF toka waifungei Sasa natafakari tangazo la kuifungia JF Kuna statement moja inasema hatutapatikana ndani ya Tz kwa muda wa siku tisini.
Wazo likaja kumbe nikiwa...
Jacob Mfadhili Sio kama sifahamu iyo C , lakini chai ya mtoto(mpya) haiwezi kuwa ya moto kama mkubwa (expert)kaka ,, Mimi nakuelewa unapo mwambia mtu ajifunze low level ama assembly ama C, mueleze...
Apple event ya Septemba 9 imetoa muelekeo mpya wa kimkakati wa kampuni hiyo katika kuimarisha utawala wake wa soko la vifaa vya elektroniki. Badala ya tu kutangaza bidhaa mpya, Apple imeonyesha...
Tunaweza sema Hello champion phone 😉 Apple inatarajia kuachia simu mpya ya iphone 17 series miezi mitatu mbeleni kuanzia sasa.
Toleo jipya la iphone 17 pro & 17 pro max itakuja ikiwa Muonekano...
Wanajamii forum kwa yoyote anayejua mfumo au jinsi ya kucheza zile mashine za bonanza ikiwemo teknolojia na weakness za ile mashine tujuzane humu tupate elimu
Habari za Jumapili wadau wa JamiiForums!
Leo nimekujieni na hii thread, haswa baada ya jana kusikia kuwa JamiiForums imepigwa ban ya siku 90 na TCRA kwa kile wanachodai ni maudhui yanayopotosha...
Hatua 3 Jinsi ya kuingia Dark Web (simu na computer)
Katika pitapita zangu nimekutana na maelezo kuhusu dark web internet ambayo haiwezi kufikiwa na injini za utafutaji za kawaida, watu wengi...
Wakuu naomba msaada.
Sijui kama hili tatizo nalipata Mimi mwenyewe au na wengine mmekumbana nalo leo.
Tangu asubuh nikijaribu Ku attach file haitaki kabisa na wala mails haziendi.
Kuna kitu...
AI: Akili ya Bandia – Faida na Changamoto Zake
Akili ya bandia (AI) ni teknolojia inayoweza kujifunza, kufikiria, na kutenda kama binadamu, lakini kwa kasi na ufanisi mkubwa zaidi. Inajumuisha...
Habar wadau
Nimezurula kariakoo mpaka nimechoka natafita usb switch sio usb hub usb switch
ipo hv nina pc 3 na nina zitumia mara kwa mara kwa kaz mbalimbali sasq nikawa natafuta mfumo utakao...
Kwema Wakuu,
Kuna idea nimeipata nahitaji kuianzishia APP. Sasa utaratibu ukoje? Naanzia wapi? Kuna vibali labda? Kama vipo naviombea wapi? Na kuna gharama? Kias gani kama zipo?
Na kama App...
Katika kuhakikisha Mtandao wa Starlink unazidi kushika Kasi ulimwenguni Tajiri Elon Musk ameamua kuongeza nguvu zaidi kwa kuleta huduma hii nchini Uganda.
Mtandao wa Starlink ambao unasifika kwa...
Wakuu naomba mwenye utaalamu na hii smartphone gimbal ya hohem isteady m6 jinsi ya kuitumia yenyewe pamoja na app yake anisaidie maana imekuwa inanipa shida sana namna ya kuset na kubalance simu yangu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.