Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Habari! Mtu anaye juu software ya kuflash simu techno k9 version 7.9
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Kampuni ya Virgin Galactic inayofanya safari za Utalii wa eneo la Juu la Anga (Space), itafanya safari Juni 29 na August 2023. Hadi sasa kuna abiria 800 wamenunua Tiketi kwa Tsh. Milioni 481.8 kwa...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Video zimesambaa zikionesha usafirishaji wa haraka wa Pizza, ambapo mtu aliyevaa Jet Suit, ameonekana akipokea oda kutoka dukani, na kuipeleka kwa wateja huku akipaa ikiwa ni namna ya kuokoa muda...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Wakuu ni saidieni hii simu inajirestart yenyewe hasa baada ya kutumia kwa muda fulani
0 Reactions
6 Replies
593 Views
Zamani ukitaka kununua memory za computer kama hard drive(hdd) na ram tulikuwa tunaangalia tu ukubwa jinsi inavyokua na gb nyingi ndio jinsi unavyoinunua na kuipenda, ila siku hizi mambo...
12 Reactions
35 Replies
14K Views
Baada ya 3DM na wengine kuangukia pua kwa denuvo, steampunk wamekata utepe, FIFA 17 PC wamei crack, japo bado kuna bugs bila shaka mambo yote yatawekwa sawa na wabishi hawa. Download links FIFA...
1 Reactions
44 Replies
15K Views
WELCOME TO INTRAGRAPH SMART PLANT V P&ID 11. 0.0.0907 (2019) Smart plant Intergraph P&ID is vastly different from graphic-driven P&ID solution today. In this software the Latest Version allows...
0 Reactions
1 Replies
978 Views
Habari. Kati ya Instagram na facebook ni upi mtandao mzuri wa kuweka matangazo ya kulipia?
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Naomba msaada wenu katika hili . Je tatizo litakuwa ni Nini haswa? Maana charge percentage ipo above 90 lakini haiwaki endapo nikiichomoa kwenye uememe.
1 Reactions
14 Replies
657 Views
Wakuu msaada wa site ninayoweza kuitumia kudownload Korean Drama
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Habari wakuu? Niende moja kwa moja kwenye mada, nilikua nahitaji smart watch halisi, isiwe fake, lakini pia iwe na mwonekano mzuri, namaanisha isiwe ndogo sana. Mkinisaidia Aina ikiambana na...
2 Reactions
24 Replies
3K Views
Habar wakuu natumia sim ya Redmi ila sioni sehemu autorotate maaana sim inasumbuasumbua inajirotate rotate Kila mda ..inanifanya kutokua comfortable namatumizi nayo
1 Reactions
12 Replies
3K Views
Wakuu, Naomba tusaidiane kitu katika uchumi je Afrika ni miongoni mwa bara la watu wengi ambao tunaishi below our means na pia watu wapo chini katika uelewa ikiwemo hata kuandika na pia...
0 Reactions
0 Replies
880 Views
Kwenye harakat za 'Kusaka tonge' Nikajikuta nimedondokea nchini Burundi..Hapa nchini burundi mambo ni rahisi sana sasa napata EXPERIENCE ya ile kauli ya Waziri kuhusu kuhamia burundi kama maisha...
19 Reactions
34 Replies
3K Views
WhatsApp tricks are ways which can help you to use WhatsApp messaging App like a Pro. WhatsApp has become one of the most popular instant messaging apps, used by billions of people around the...
2 Reactions
0 Replies
1K Views
Nina Bajeti ya 1.5M kwa ajili ya TV 55" na 1M kwa ajili ya Music system. Lengo niviweke Master Bedroom. Naomba pendekezo la options ambazo sitajutia. Kwenye TV preference zangu ni true color...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Umechoka tabia ya kuchaji simu mara tatu kwa siku ? Unajua akuna anayependa kumiliki simu afmbayo haikai na chaji. ni muhimu kuokoa maisha ya betri kuondokana na mambo ambayo yanaweza kuleta...
2 Reactions
3 Replies
2K Views
Nina ps4 , Version yake ni 9.00, Binafsi kwenye games ni mpenzi wa mpira tu, mfano Fifa. Sasa Je, kibongo bongo A. Nicheze game original ? B. Niichipu niwe naenda kuingizza games kwenye...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wakuu habari za leo , naomba msaada wa namna au site za kudownload app za Bure za Computer. zile ambazo zipo cracked
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…