Apple wako mbele ya Muda

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Apr 28, 2020
445
754
Apple Toka kuanzishwa kwake mpaka Leo imefanya mapinduzi mengi ya Teknolojia lakini Leo nitakuambia kuhusu usalama wa vifaa vya apple kwa mwaka 2024.

Apple ni Kampuni yenye nguvu sana ulimwenguni kutokana na jinsi ambavyo wanatengeneza bidhaa zao kuwa Unique sana kwenye huu ulimwengu.

download%20(7).jpg

Unajua apple wameanza kutumia mifumo ya security miaka kumi iliyopita lakini mpaka kufika mwaka 2024 wana tambulisha Teknolojia mpya ya usalama

Usisahau kutembelea chanel Yetu ya telegram kujifunza mengi zaidi

1) Fingerprint Scan
Apple ndo walikua watu wa mwanzo kutumia huu mfumo wa fingerprint kwenye simu zao Tena ilikua iphone 5 ilikua mwaka 2013 walipoweza kuweza ulinzi wa kufungua simu kwa kutumia kidole una scan nakutumia walikaa nayo mpaka kufika mwaka 20217.

images%20(60).jpg

2) Face Id
Ndipo ilipofika mwaka 2017 September apple wakamua kuja na Facial recognition security uwezo wa kutumia Uso kuweza kufungua simu na kutumia iphone wakaanza kuweka kwenye simu ya kwanza ilikua iphone X ndo ilipata hii Teknolojia.

Apple ni Kampuni ya kwanza kutumia face id Kwenye kutoa lock , kupakua program nk ndipo baadae ikasamba kwa simu nyingine.

download%20(5).jpg

Hatimaye apple kwa mara nyingine Tena wanashika dira ya dunia kwenye upande wa Teknolojia kuja na mfumo mpya wa Biometric mwaka 2024.

images%20(59).jpg

3) Optic Id
Mwaka 2024 apple watachia feature mpya ya optic id ya kuweza kutumia jicho kuweza kutoa lock simu yako pamoja na kufanya mambo kupitia njia ya ku scan tu jicho lako basi utakua na uwezo wa kufungua simu na kutumia.

IMG_20230617_211304_524.jpg

Endelea kufuatilia page Yetu makala ya optic ID inakuja kwa undani zaidi si unajua Teknolojia ni Yetu sote .
 
Apple Toka kuanzishwa kwake mpaka Leo imefanya mapinduzi mengi ya Teknolojia lakini Leo nitakuambia kuhusu usalama wa vifaa vya apple kwa mwaka 2024.

Apple ni Kampuni yenye nguvu sana ulimwenguni kutokana na jinsi ambavyo wanatengeneza bidhaa zao kuwa Unique sana kwenye huu ulimwengu.

View attachment 2660668

Unajua apple wameanza kutumia mifumo ya security miaka kumi iliyopita lakini mpaka kufika mwaka 2024 wana tambulisha Teknolojia mpya ya usalama

Usisahau kutembelea chanel Yetu ya telegram kujifunza mengi zaidi

1) Fingerprint Scan
Apple ndo walikua watu wa mwanzo kutumia huu mfumo wa fingerprint kwenye simu zao Tena ilikua iphone 5 ilikua mwaka 2013 walipoweza kuweza ulinzi wa kufungua simu kwa kutumia kidole una scan nakutumia walikaa nayo mpaka kufika mwaka 20217.

View attachment 2660669

2) Face Id
Ndipo ilipofika mwaka 2017 September apple wakamua kuja na Facial recognition security uwezo wa kutumia Uso kuweza kufungua simu na kutumia iphone wakaanza kuweka kwenye simu ya kwanza ilikua iphone X ndo ilipata hii Teknolojia.

Apple ni Kampuni ya kwanza kutumia face id Kwenye kutoa lock , kupakua program nk ndipo baadae ikasamba kwa simu nyingine.

View attachment 2660670

Hatimaye apple kwa mara nyingine Tena wanashika dira ya dunia kwenye upande wa Teknolojia kuja na mfumo mpya wa Biometric mwaka 2024.

View attachment 2660671

3) Optic Id
Mwaka 2024 apple watachia feature mpya ya optic id ya kuweza kutumia jicho kuweza kutoa lock simu yako pamoja na kufanya mambo kupitia njia ya ku scan tu jicho lako basi utakua na uwezo wa kufungua simu na kutumia.

View attachment 2660672

Endelea kufuatilia page Yetu makala ya optic ID inakuja kwa undani zaidi si unajua Teknolojia ni Yetu sote .
Anoldi
 
Mzee biometric fingerprint wako nayo samsung huu mwaka wa nne inaitwa ultrasonic finger scanner android zote zinayo.

Hii optic id ni mahususi kwa hiyo miwani yao ya bei ya IST,na sababu ni kwamba sensor na camera za hiyo miwani zinakaribiana na mboni za macho zaidi kuliko sehemu nyingine za uso,hivyo itakuwa haina maana kuondoa face ID kisha kuweka hiyo ktk simu,wakati trend ya soko inataka aondoe kabisa hiyo notch,so possible biometric ndio itawekwa ktk simu na kuondoa face ID mount.
 
jamaa Mshamba 😆😆😆. apple hasn't invented anything for years since iPhone os. hadi vision Pro. watu wanazo since 2013 zipo on market. I think its a luxury tech brand nothing else
Apple huwa mara nyingi haleti kitu kipya ila anachukua kitu kilichokuwepo sokon anakiboresha na kukifanya more useful.
Nmeona review ya mkbh kuhusu hiyo vision pro, aisee iko vzuri inavyofanya kazi ma gestures za mikono na anakwambia response yake ni realtime na hizo gestures zina dedicated procesaor yake maana ima processor mbili.
Pia imterface yake ya OS mpya aliyounda specically kwa ajjli ya vision pro jamaa anakwambia ni kwa haya VR hii ni moja ya interface bora kabisa.
Uzuri apple huwa kila kifaa ki akuwa na.customized os yake ndio maana hata kwenye tablets ipads ziko kwemye.league yake yenyewe wakati za android ni sawa tu na misimu yenye screen kubwa ambayo apps zinakuwa stretched kwa screen.
 
Sure lakini ktk upande wa soko inaangukia kule kwenye level za Earpod max,macbook pro nk,itashindwa kuleta mapinduzi kama ugunduzi mpya ama uboreshaji mpya sababu imewekwa kama kifaa cha matumizi yasiyo ya lazima(luxury).
Bei haiendani na umuhimu wa kifaa.
 
VR ni luxury experience 😂😂, Yah nikama kununua PS5 , wakati miaka 2 nyuma ulinunua ps 4, so technology inatupeleka puta,

Tumekuwa addicted na accessories za technology ambazo hazina faida kwenye uzalishaji, Bali ni ufahari , kwenda na wakati, kumbe uko nyuma kifkra
 
Apple huwa mara nyingi haleti kitu kipya ila anachukua kitu kilichokuwepo sokon anakiboresha na kukifanya more useful.
Nmeona review ya mkbh kuhusu hiyo vision pro, aisee iko vzuri inavyofanya kazi ma gestures za mikono na anakwambia response yake ni realtime na hizo gestures zina dedicated procesaor yake maana ima processor mbili.
Pia imterface yake ya OS mpya aliyounda specically kwa ajjli ya vision pro jamaa anakwambia ni kwa haya VR hii ni moja ya interface bora kabisa.
Uzuri apple huwa kila kifaa ki akuwa na.customized os yake ndio maana hata kwenye tablets ipads ziko kwemye.league yake yenyewe wakati za android ni sawa tu na misimu yenye screen kubwa ambayo apps zinakuwa stretched kwa screen.
Hio ni Zamani, ila sasa Android ipo vizuri sana Tablet hasa One Ui ya Samsung, achana na Tablet natumia s20 kwenye TV sometime unasahu kabisa kama unatumia simu, kila kitu kipo on point na apps zote ninazotumia sijawahi pata tatizo la UI, mpaka za vichochoroni. kuna Video kibao zipo youtube unaweza cheki Tablet mode ya One Ui ikiwa compared na ipad os mambo. Mambo ya multitask etc. Kama hii

Sure lakini ktk upande wa soko inaangukia kule kwenye level za Earpod max,macbook pro nk,itashindwa kuleta mapinduzi kama ugunduzi mpya ama uboreshaji mpya sababu imewekwa kama kifaa cha matumizi yasiyo ya lazima(luxury).
Bei haiendani na umuhimu wa kifaa.
Mkuu hivi unajua apple ndio kampuni pekee ambayo soko lake la computer linakuwa kwa sasa wakati soko la makampuni mengine lina shrink maana computer haziuzi kwa sasa kama zamani?
Unajua kuwa mwaka jana tu kauza airpods milion 84 yani airpods tu zimemwigizia zaido ya dollar billion 10, japo mauzo yamwshuka kwa kama billion 4 compared na 2021.
Unajua mkuu tofauti ya apple na wengine ni usability.
Jinsi anavyo implement tech zilizopo anapatia sana kuliko waliotangulia.
Hii vision pro japo ni VR naye anaepuka neno VR kulitumia imelenga streaming na gaming. Na ndio maana hawajaanza kuiuza wanawapa nafasi developers watake advantage ya hii new os na uwezo wake watengeneze vitu ili wakati inaanza kuuzwa iwe na apps.
Watu watanunua tu kama amewahi uza vitambaa vya kufutia screen watu wakanunua tena bei mbaya na hio watanunua.
And by the way anaisema kuwa ni aina nyingine ya computing. Si muda mrefu utaona copycat za implementation yake
 
Hio ni Zamani, ila sasa Android ipo vizuri sana Tablet hasa One Ui ya Samsung, achana na Tablet natumia s20 kwenye TV sometime unasahu kabisa kama unatumia simu, kila kitu kipo on point na apps zote ninazotumia sijawahi pata tatizo la UI, mpaka za vichochoroni. kuna Video kibao zipo youtube unaweza cheki Tablet mode ya One Ui ikiwa compared na ipad os mambo. Mambo ya multitask etc. Kama hii

Mkuu hii naikubali ya One Ui ya samsung hasa ambavyo unaweza ifanya hata uoate feeling ya UI ya PC.
Ila most android tabs ni kama simu with a bigger screen. Halafu mkuu unaongeleaje jambo la uwezo ikija suala kwamba newest tabs za apple zinatumia chip zake za M series sawa na anazotumia kwa pc sasa.
 
Zote siku hizi zina hio mode mkuu, sema nyengine sio polished tu, after some time huwa Google ana copy toka kwa Oems na ku Add kwenye Android, Kuanzia android 12 zote zina Desktop mode.

Pia Sd 8 gen 2 considerably ime close Gape na Appe M1, sasa hivi Adreno 740 inatumia umeme kidogo na kutoa perfomance kubwa kushinda A16 ya Apple, na haipo mbali na M1, Adreno 740 inatumia around watts 7 ama 8 kutoa perfomance kama ya gtx 1050 wakati M1 inatumia watts zaidi ya 10. Kwenye ipad huwa wanai throttle M1/M2 naamini Tablet za Samsung za Sd 8 gen 2 na Ipad za M series hazitotofautiana sana.
 
Apple huwa mara nyingi haleti kitu kipya ila anachukua kitu kilichokuwepo sokon anakiboresha na kukifanya more useful.
Nmeona review ya mkbh kuhusu hiyo vision pro, aisee iko vzuri inavyofanya kazi ma gestures za mikono na anakwambia response yake ni realtime na hizo gestures zina dedicated procesaor yake maana ima processor mbili.
Pia imterface yake ya OS mpya aliyounda specically kwa ajjli ya vision pro jamaa anakwambia ni kwa haya VR hii ni moja ya interface bora kabisa.
Uzuri apple huwa kila kifaa ki akuwa na.customized os yake ndio maana hata kwenye tablets ipads ziko kwemye.league yake yenyewe wakati za android ni sawa tu na misimu yenye screen kubwa ambayo apps zinakuwa stretched kwa screen.
android pia ana kila device os yake. bro so I don't think you know alot. also the vision Pro face weight will be a concern. gestures was a new thing. but in productivity holo lens was ahead of its time to me.
 
So kuna android ya simu na tablet? Wakati hata radio zinakuja na android hii hii ya simu na tv zina android hii ya simu au kwa sababu unaona kuna apps hazipo ndio unadhani ni android ya tofauti?
Narudia kusema apple huwa anachukua vitu vilivyokuwepo na kuvifanya viwe usable yani vinakuwa na better user experience.
Haina maana kuwa na tech kubwa wakati matumizi yake hayaeleweki. Kuna kipindi simu za samsung zilikuwa zinakuja na features nyingi ambazo mtumiaji atazitumia siku ya kwanza tu akinunua simi na baadaye anaachana nazo zilikuwa gimmicks.
Holo lens ilikuwa ahead of its time na ilishindikana.
Implentation katika technology ni kitu muhimu. Mfano unaweza kuwa na app moja nzuri ina mambo mazuri lakini interface yake mbovu na watu wasiitumie
 
android kuna freedom of use. thgh they do have the os. android watch, car play , android TV, and so on. but android goes in anything. compactible. it's open source that's the beauty. if apple allows that it will be every where
 
Najua lakini ni kwanini wanaotengeneza wana opt kutumia hii android ya simu kwenye tv na vifaa vingi?
And os ya apple ya car navigation nikisoma review za mtandao inasifiwa kuliko hata car plày.
Lakini pia turudi kwenye kilichofanya tablet za android zifail ilikuwa ni os ile ile kutumika kwenye tablet na simu so same apps zinakuwa stretched kwa screen wakati apple alikuwa na dedicated os kwa simu na tablet.
Visiom pro naongea kutoka na review na wala kwa bei yake sijui hata kama naweza kuimiliki ila jinsi alivyoimplement kafanya hata VR ya meta iwe hamna kitu japo pia ya meta ilikuwa na malengo rofauti na ya vision pro.
By the way naona metaverse project itajifia kifo kama products na services nyingi za google zinavyojifia.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom