Nataka nirudi kwenye simu za button

Nataka nirudi kwenye simu za button

Mungu ni mwema naamini nitapata tu kazi kwa ajili ya kumudu basic needs .. maana dah Hali ya kiuchumi kwangu ni changamoto since I graduated
Ndiyo wengi wetu iko hivo ila ukiweza pata laki 5 panda juu maisha unayamudu ikiwa sio mtu wa starehe
 
Biashara bila mtaji ni hadithi sema zipo biashara.
 
kuwa chawa kama Juma Lokole... nayo ni Biashara
 
Kutokana na simu yangu Sasa kuzingua technically nataka nirudi kwenye vitochi mpaka uchumi wangu utakavyoamua vinginevyo. mnanishaurije ipi button nzuri ambayo inauwezo wa internet ya kuchungulia jf mara Moja Moja?
Chukua nokia 3310 kitochi kipo simple net kinaingia na iko sharp sio sawa na azumi bajet 120K
 
mpaka naandika ivi niko natumia tekno t520,facebook kama kawaida ila naingia kwakutumia operamini,mb400 zinanifikisha zaid ya wiki chaji inakaa fresh,kwenye tach tuliona ni uhalibifu wa hela.nimeweka power saver ni mwendo wa kujilusha tu
 
Naambiwa ki smart 4g na kenyewe sio mbaya Japo siijui
 
Back
Top Bottom