Kuanzia sasa kama haujalipia Twitter Blue, utasoma Tweets 500 hadi 1,000 tu kwa siku, waliolipia watasoma 10,000

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,376
8,120
Kampuni hiyo inayomilikiwa na Mfanyabiashara Elon Musk imetangaza kuweka kiwango cha idadi ya Tweets utakazoona kuanzia leo Julai 1, 2023. Waliolipia 'Twitter Blue' wataweza kusoma hadi Tweets 6,000.

Kwa mujibu wa taarifa ya Musk, hatua hiyo imechukuliwa ili kudhibiti kiwango cha matumizi mabaya ya 'Data' na Mifumo ya Twitter pamoja na kuwataka watu kujiunga na huduma ya kulipia.

Kama unakutana na changamoto ya kutumia Twitter leo, basi tambua kuwa tayari kampuni hiyo imeshaweka zuio la muda la kusoma jumbe zinazochapishwa kwenye mtandao huo kila siku.

===========
1688278887645.png

1688234534670.png

Elon Musk said Saturday that Twitter users will only be able to read a certain number of posts per day due to “extreme levels of data scraping” and “system manipulation” on the platform.

The Tesla and SpaceX CEO, who is executive chairman and CTO of Twitter, said the limits are temporary, but verified accounts will be able to read 6,000 posts per day, unverified accounts will be able to read 600 posts per day and new unverified accounts will be limited to reading 300 posts per day.

Musk did not say when the restrictions will be lifted.

Musk’s tweet comes as thousands of users reported problems as they tried to access Twitter Saturday, marking the latest widespread outage since he acquired the social media site late last year.

Many users who tried to access or post content on Twitter’s website or mobile app were met with a “Rate limit exceeded” or “Cannot retrieve tweets” error message. As of 11 a.m. ET, more than 7,300 people reported issues with Twitter to the website Downdetector.

Twitter responded to CNBC’s request for comment with an automated response. It is not immediately clear if the site’s outage is related to Twitter’s new limited-reading policy.

The social media site also began restricting access to content that was available to users without an account on Friday. Twitter had previously allowed people to view public profiles and tweets, even if they had not signed in, but they are now immediately prompted with a log-in window.

Musk said in a tweet Friday that “drastic and immediate action” was necessary due to “EXTREME” levels of data scraping. He added that the restrictions would be “unlocked shortly,” but the content remained restricted as of Saturday afternoon.

Saturday’s outage is not the first time Twitter has suffered technical difficulties in recent months. In February, users were unable to post on the site for about 90 minutes after receiving a message that read, “You are over the daily limit for sending Tweets.” In March, users were temporarily unable to click on links or load images.

Other outages coincided with reports of a data center closure and massive layoffs at Twitter, which Musk claimed were necessary for the financial health of the company.

It is unclear when Saturday’s outage will be resolved.

CNBC
 
Bilionea na Mmiliki wa Twiiter Ellon Musk Leo Hii Kaweka Vizuizi/Limitation Katika Mtandao wake Wa Twitter
Ambapo;

Verified Account Zitakuwa na uwezo wa kusoma Post 6000 tu kwa Siku

Unverified Account Zitakuwa na Uwezo wa Kusoma Post 600 tu Kwa siku.

Na New Unverified Account Zitakuwa na Uwezo wa Kusoma Post 300 tu kwa siku.

Baada ya kusoma Post Tajwa Kutokana Na Account yako Hutaweza tena kutumia Twitter (Kufungua Post(Thread) Na Kuifatilia)Badala Yake Utaiona tu As a post na Hautakuwa Na Uwezo wa Kuifungua.
Sio mara yake Ya Kwanza kuweka Utata juu ya Mtandao wake,Je Anakusudia Nini,Anavimba na Mtandao Wake au Ni Mbinu ya Kibiashara.

Mack Zuckerberg akitengeneza mtandao wenye user Interface na Mechanism Kama Twitter,Ndo Itakuwa Mwisho wa twitter kwani Mack Zuckerberg ana uzoefu wa kuuwa Mitandao mingine kwa Kucopy Features Kama alivyouwa snapchat Na Kuikuza Instagram Baada ya kucopy feature ya Snap stories na Kuiweka kwenye Mitandao yake Ya facebook,Instagram Hakuishia Hivo na Mengine Mengi tu.

Screenshot_20230701-214823_Bixby%20Voice.jpg
 
Nawasalimu kwa Jina la Jamhuri.
Kwanza tumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutupa zawadi ya afya njema kwa siku ya leo.

Kama kichwa cha habari kinavyosomeka hapo juu, Wadau wa twitter, kuna hili hapa la post limitation kwa ambao hawajawa verfied, pengine hata account zitafungwa kabisa, (means ili utumie twitter lazima ulipe per year), hii imekaaje kwenye soko la ushindani wa miitandao, kwa kampuni kama twitter na kampuni zinginezo? Nini kitatokea endapo wateja watahama au mwingine akaanzisha kampuni, au tiktok akaimprove zaidi?
 
Attachments

  • Screenshot_20230701-213929_Twitter.jpg
    Screenshot_20230701-213929_Twitter.jpg
    99.6 KB · Views: 5
  • Screenshot_20230701-214101_Twitter.jpg
    Screenshot_20230701-214101_Twitter.jpg
    104 KB · Views: 6
hii haikulenga binaadam, bali data scraping tools aka web crawlers
AI bots (zisizo rasmi) zinazo scrape pages za twitter na kusoma posts bila kikomo,
zilizo rasmi zinapewa API ya ku-scrape ambayo ina limit
Ni wazo zuri sana maana yake itasaidia kuongeza efficiency ya twitter wenyewe
 
Kampuni hiyo inayomilikiwa na Mfanyabiashara Elon Musk imetangaza kuweka kiwango cha idadi ya Tweets utakazoona kuanzia leo Julai 1, 2023. Waliolipia 'Twitter Blue' wataweza kusoma hadi Tweets 6,000.

Kwa mujibu wa taarifa ya Musk, hatua hiyo imechukuliwa ili kudhibiti kiwango cha matumizi mabaya ya 'Data' na Mifumo ya Twitter pamoja na kuwataka watu kujiunga na huduma ya kulipia.

Kama unakutana na changamoto ya kutumia Twitter leo, basi tambua kuwa tayari kampuni hiyo imeshaweka zuio la muda la kusoma jumbe zinazochapishwa kwenye mtandao huo kila siku.

===========

View attachment 2675334
Elon Musk said Saturday that Twitter users will only be able to read a certain number of posts per day due to “extreme levels of data scraping” and “system manipulation” on the platform.

The Tesla and SpaceX CEO, who is executive chairman and CTO of Twitter, said the limits are temporary, but verified accounts will be able to read 6,000 posts per day, unverified accounts will be able to read 600 posts per day and new unverified accounts will be limited to reading 300 posts per day.

Musk did not say when the restrictions will be lifted.

Musk’s tweet comes as thousands of users reported problems as they tried to access Twitter Saturday, marking the latest widespread outage since he acquired the social media site late last year.

Many users who tried to access or post content on Twitter’s website or mobile app were met with a “Rate limit exceeded” or “Cannot retrieve tweets” error message. As of 11 a.m. ET, more than 7,300 people reported issues with Twitter to the website Downdetector.

Twitter responded to CNBC’s request for comment with an automated response. It is not immediately clear if the site’s outage is related to Twitter’s new limited-reading policy.

The social media site also began restricting access to content that was available to users without an account on Friday. Twitter had previously allowed people to view public profiles and tweets, even if they had not signed in, but they are now immediately prompted with a log-in window.

Musk said in a tweet Friday that “drastic and immediate action” was necessary due to “EXTREME” levels of data scraping. He added that the restrictions would be “unlocked shortly,” but the content remained restricted as of Saturday afternoon.

Saturday’s outage is not the first time Twitter has suffered technical difficulties in recent months. In February, users were unable to post on the site for about 90 minutes after receiving a message that read, “You are over the daily limit for sending Tweets.” In March, users were temporarily unable to click on links or load images.

Other outages coincided with reports of a data center closure and massive layoffs at Twitter, which Musk claimed were necessary for the financial health of the company.

It is unclear when Saturday’s outage will be resolved.

CNBC
Hahaha! Sasa, sisi tusiolipia si ndiyo walaji wenyewe? Tangazo la icecream za ukwaju za Azam au Fanta na Pepsi wanywaji ni kina nani,si sisi hohehahe tusiowaza hata kuverify accounts zetu. Bill Gates hahitaji tangazo la Sayona.

Watublock kabisa waone impact yake.
 
Mimi kama nimemuelewa musk lengo ni kupunguza uraibu wa mitandao Social media disorder (SMD) tweeter ni miongoni mwa mtandao wenye addiction sana, Sababu kubwa ni Ile engagement kubwa ya watu na Ile kutumia data kidogo.

Natamani mitandao mingine(hata Jamii forum)waweke option ya limition ya masaa kuview post , YouTube wanayo option tayari ya reminder unaweza kuset baada ya lisaa una take break.

Ila kwenye idadi ya post kwa siku Kazingua, kwa unverified account post 600 ni ndogo sana
 
Wengine tushakimbia bila kufukuzwa. Social media inawafanya consumers kuwa slaves.

You trade your time for cheap dopamine. Social media ilikuja ku-connect watu badala yake ime-disconnect.

Zuck & Elon making more money and more money off consumers' doom-scrolling.
 
Back
Top Bottom