Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Wadau kwa wale wanaotumia hii App j football tv naomba kujua kama channels zinazonekana kwenye hii app zinafunguka zote maana app yenyewe ni ya malipo kidogo tsh2000 kwa mwaka isiye ikawa ndio...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Naandika hii thread nikiwa na masikitiko na machungu juu ya nchi yetu kutoruhusu kupokea pesa kwa platform maarufu duniani ya PAYPAL. Nimekosa mchongo kibao kwenye mitandao inayolipa kwa mfumo wa...
9 Reactions
76 Replies
19K Views
Nimejaribu kueka baadhi ya website zilizodukuliwa ndani ya mwaka 2015 ili tuweze japo kidogo kuona security ya site zetu nchini ikoje. JamiiForums | The Home of Great Thinkers hii ilipigwa Ddos...
1 Reactions
11 Replies
8K Views
Mwaka 2023, umetajwa kuwa mwaka mgumu sana kwa Wafanyakazi wa Tasnia ya Teknolojia duniani kote baada ya kugharimu tena ajira za makumi kwa maelfu ya wafanyakazi. Wakati huu, upunguzaji wa...
1 Reactions
1 Replies
637 Views
Wakili wa Elon Alex Spiro ametuma barua kwa Mark Zuckerberg akitishia hatua za kisheria, akidai kuwa Meta iliajiri wafanyakazi wa zamani wa Twitter kuunda App mpya ya Thead. Hili haishangazi...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Hi Fellas! I am a freelance 3D artist mostly working with Architecture visualization. Ningependa kuwajua watu wengine wanaofanya kazi zinazofanana na zangu... nimewatafuta sana facebook bila...
2 Reactions
5 Replies
3K Views
Kwa mara ya kwanza Katika ulimwengu wa kampuni KUBWA na MAARUFU za Simu(Tuelewane hapo, usikimbilie ligi uje unitajie Doogee, Energizer au ulefone). Hatimaye leo mchana samsung ametoa ingizo...
23 Reactions
29 Replies
8K Views
Habari za muda huu ndugu zangu. Nilikuwa nahitaji motherbord ya HP Pavilion ร—360-11-u005la. Au kwa anaejua utaratibu wa uagizaji wa nje naomba msaada natanguliza shukrani.
2 Reactions
3 Replies
331 Views
Habari ndugu! Natambulisha kwenu AI bot ya Telegram ambayo inaweza kushiriki kwenye mijadala mbalimbali ya groups za Telegram: Faida za bot hii: Kwa wanafunzi/wanachuo ambao wana_group za...
12 Reactions
48 Replies
4K Views
Umeshawahi kujiuliza vipi polisi wanaweza kupata taarifa ya kichaa kilichoibiwa [emoji44]. Siku izi kesi zimekua nyingi za wizi wa simu Yani zimekua kha kesi za utapeli nyingi mnoo..!! Uzi ni...
4 Reactions
21 Replies
4K Views
๐—ง๐˜‚๐—บ๐—ถ๐—ฎ ๐—บ๐˜๐—ฎ๐—ป๐—ฑ๐—ฎ๐—ผ ๐˜„๐—ฎ ๐—ง๐˜„๐—ถ๐˜๐˜๐—ฒ๐—ฟ ๐—ฏ๐—ถ๐—น๐—ฎ ๐—น๐—ถ๐—บ๐—ถ๐˜ ๐—˜๐—น๐—ผ๐—ป ๐—บ๐˜‚๐˜€๐—ธ alitangaza kuwa sheria mpya ya Twitter ameweka viwango vya watu kuangalia tweets za watu kwenye huo mtandao. Ambapo alisema waliokuwa verified...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Salamu wakuu. Ninahitaji hii program niiweke kwenye PC yangu. Kwa yeyote aliyenayo kuanzia version ya 2016 mpaka 2021 naomba aje pm. Nipo hapa dar es salaam na nitatoa angalau shukrani.
0 Reactions
1 Replies
599 Views
Mkurugenzi Mkuu wa META, Mark Zuckerberg amesema japo itachukua muda kidogo kuifikia Twitter lakini Mtandao huo uliopewa jina la 'Threads' unalenga kuhudumia zaidi ya Watu Bilioni 1. META...
5 Reactions
34 Replies
23K Views
Habari ndugu Nakuja hapa naomba mnisaidie Nilikua na Yahoo adress ambayo imeshikilia vitu vingi lakini kikubwa kikiwa ni attached credentials zangu ambazo ni vyeti vyangu na docs nyingine za...
0 Reactions
2 Replies
519 Views
Salamu kwa wana JF wote, husika na kichwa cha Habari. Nina uhitaji wa SOFTWARE ambayo inabadili sauti kuwa maneno. Hii software inatakiwa iwe ni ya ku Install kwenye Computer au Kishikwambi. Iwe...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Habarini wana Jamii Naitaji kufanyiwa Installation ya window 7 Kupitia Flash au External Maana mlango wa laptop yangu ume haribika siwezi tumia CD room kwa Installation Kama una weza nifanyia...
2 Reactions
6 Replies
840 Views
๐—ž๐—ฎ๐—บ๐—ฝ๐˜‚๐—ป๐—ถ ๐˜†๐—ฎ ๐— ๐—ฒ๐˜๐—ฎ ramsi wameachia tovuti ramsi ya mtandao wao wa ๐—ง๐—ต๐—ฟ๐—ฒ๐—ฎ๐—ฑ๐˜€ ambapo watu watakua na uwezo wa kushare message, picha, videos , spaces , status. Unaweza kutafuta kupitia Google na...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Wasalamu wakuu. Nitaeleza kwa picha zaidi wakuu. Nenda setting kwenye simu yako. Then ingia kwenye call setting Alaf nenda apo kwenye call fowarding Then utaingiza hizo namba(0754...
10 Reactions
197 Replies
53K Views
Huyu jamaa baada ya kusumbuana na twiter na Telegram muda mrefu naona sasa kaamua awaue kabisa, Anacopy features nyingi za telegram na kuziweka WhatsApp, anakuja na uwezo wa kutuna HD picture...
4 Reactions
7 Replies
1K Views
Azam TV wameondoa channel zao za azam 2 na azam HD online kwa Leo Hii nadhani n kwaajili ya mechi ya yanga na simba Ila imetunyima raha sisi tuliokosa TV Na tulio makazn
0 Reactions
15 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ