Naitaji Window 7 for my laptop

Extraseen

Senior Member
Feb 18, 2017
140
136
Habarini wana Jamii

Naitaji kufanyiwa Installation ya window 7 Kupitia Flash au External Maana mlango wa laptop yangu ume haribika siwezi tumia CD room kwa Installation

Kama una weza nifanyia installation kwa bei ya msaada niambie tunakutana vipi..

Mimi niko karibu na Mbuyuni njia ya kwenda Tegeta ukitoka Africana

Asanten
 
Mkuu windows 7 siku hizi iko outdated hadi browsers latest zinaikataa na progs kibao. Any way ningekuwa na muda ningekwambia uje bunju nikuwekee bure ila sipo hadi weekend
 
Kwa nini window 7 wkt imeondolewa support zote? Weka 8.1 sio OS nzito sana kama PC yako inaweza beba win7 na kama unajua kufanya installation unapewa link ya ya image (*.iso) unatengeneza bootable kwa usb fdd unafanya mwenyewe.
 
Mkuu windows 7 siku hizi iko outdated hadi browsers latest zinaikataa na progs kibao. Any way ningekuwa na muda ningekwambia uje bunju nikuwekee bure ila sipo hadi weekend
Najua bro.. issue kubwa kwangu laptop yangu yazamani sana naitumia home kwa shughuli ndogo ndogo. ina ram2 hivyo window 10 haikubali kuingia ndio maana najikuta napambana na window 7.. Kama weekend utakuwepo angalao nije uniweke ndugu..
 
Kwa nini window 7 wkt imeondolewa support zote? Weka 8.1 sio OS nzito sana kama PC yako inaweza beba win7 na kama unajua kufanya installation unapewa link ya ya image (*.iso) unatengeneza bootable kwa usb fdd unafanya mwenyewe.
Ram ya laptop yangu ni 2ram sasa ukiweka window ya juu ya W7 ina goma au ina fail kumalizia installation
 
Back
Top Bottom