Maujanja kwenye Twitter

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Apr 28, 2020
445
754
๐—ง๐˜‚๐—บ๐—ถ๐—ฎ ๐—บ๐˜๐—ฎ๐—ป๐—ฑ๐—ฎ๐—ผ ๐˜„๐—ฎ ๐—ง๐˜„๐—ถ๐˜๐˜๐—ฒ๐—ฟ ๐—ฏ๐—ถ๐—น๐—ฎ ๐—น๐—ถ๐—บ๐—ถ๐˜

๐—˜๐—น๐—ผ๐—ป ๐—บ๐˜‚๐˜€๐—ธ alitangaza kuwa sheria mpya ya Twitter ameweka viwango vya watu kuangalia tweets za watu kwenye huo mtandao. Ambapo alisema waliokuwa verified (wamelipia bluetick) ni post 10000 kwa siku.

twitterfull.jpg


Watu ambao hawajalipia ni 1000 kwa siku na wale wengine ambao ni wagenj wa Twitter ndo wamejiunga inakua 500 kwa siku.

twitter22.jpg


ikitokea ukapitiliza kutizama post unapokea ujumbe huu kwenye Akaunti yako

โ€œRate limit exceededโ€ au โ€œCannot retrieve Tweets at this timeโ€ hivyo mtu anashindwa kuendelea kutumia Twitter Tena.

IMG_20230706_214107_903.jpg


relax ngoja nikupe maujanja ya kuendelea kutumia ikitokea umepewa huo ujumbe.
Kuna njia tatu za kufanya ambazo ni
โ€ข kompyuta
โ€ข simu
โ€ข kwa kuweka old extension Twitter

Sasa Leo nakuambia moja tu inatosha
Fanya hivi hakikisha unapakua app au program inaitwa OperaGx: Gaming browser

twitter22%20%E2%80%93%201.jpg


โ€ข download iyo app
โ€ข ifungue kupitia link hii www.twitter.com/
โ€ข baada ya hapo Login utaweza kutumia Twitter bila limit yoyote
usisahau kutu follow
Tag's washikaji tujifunze sote
 
Back
Top Bottom