Wadau wa tech hamjawai kuniangusha. Anayejua wireless earphones kwa android zenye mziki mzuri kama za wire.
Location: dar
Bajet 100k.
Brand nzuri.
Muundo mzuri.
Charge ndefu.
Picha ya mfano wa...
Hatimaye ile vita ya utata iliyopo kati ya Android na iphone imefikia tamati baada ya Google kutambulisha mfumo rahisi wa kuweza kurushiana vitu Toka Kwenye android kwenda kwenye iphone.
Kupitia...
Google Iko kwenye mpango mzuri wa kuweza kuruhusu watumiaji wa akaunti za Gmail (Google Account) kubadilisha username za email zao Kwa urahisi.
Mfumo huo utaanza kufanya kazi kuanzia mwaka 2026...
Najua Hisense ni brand kubwa ulimwenguni ilo halina ubishi lakini maisha yanakwenda kasi na Teknolojia inazidi kubadilika mambo mengi yananadilika leo nakuambia mambo muhimu unapaswa kuyafahamu...
Kuna hii inaitwa Whatsapp bot ukiiset kwenye Whatsapp yako unaweza kupata features zifuatazo na hizi ni baadhi TU ila zipo 500+ Zaidi siwezi zielezea zote . Naelezea baadhi tu
1. Kuweza kuona...
Wakuu, moja kati ya passions nilizonazo ni pamoja na kuwa "data analyst ".
Nipo kwenye process ya kumalizia SQL queries course relating to data analytics.
Katika research ambayo nimefanya huko...
Mimi ni mwanamke nipo below 35yrs ,nilikuwa natafuta skills mpya ya kujifunza ndiyo nikajipata kwenye hiyo data analytics, mimi chuo nimesoma procurement&supplies management je nitaweza kutoboa...
Wadau naombeni kuuliza ubora wa Samsung Galaxy A36 ninataka nimununulie Bi Mkubwa simu kwake kwa ajili ya kupiga na kupokea simu she is around 60’s
Kingine Price yake inaweza kuwa shilingi...
Inaonekana hii simu ilitumika huko marekani kwenye kampuni ya AT&T.
Nikiiwasha bila line inawaka vizuri. Nikiweka line inanitaka ku unlock network code.
Kwankuwa nipo mkoani, na huku mafundi...
Habari, nimejiunga na mtandao wa UPWORK hivi karibu. Swali langu kwa wazoefu, Je nitumie bank gani ya uhakika kati ya NMB na CRDB kwa ajili ya kutoa pesa payoneer?
Karibu katika huu uzi ambao programmer wa tz tutasikiliza shida za watz wenzetu then tutaorganize group kutengeneza open-source and free solution karibuni
Tunaweza sema Blackberry imerudi tena Kwa mwaka 2026 🫣 lakini Kwa namna nyingine unajua kwanini??
Kampuni kubwa ya kutengeneza simu zenye muundo wa batani Kwa ajili ya smartphone kama ilivyo...
Mambo vipi wadau
Leo tena nimekuja na design nyingine ya simple ecommerce app kwa kutumia flutter,App hii ni ya mfano tu, haina backend halisi , hivyo data zote ni dummy. Lengo langu ni kuonyesha...
Katika ulimwengu wa sasa wa kidijitali, kauli kama “Unaweza kutengeneza mamilioni ukiwa nyumbani” zimekuwa maarufu sana kwenye mitandao ya kijamii. Lakini ukweli ni upi? Je, kila mtu anaweza kweli...