Watafute ANKER, POWEROLOGY na JBL utanishukuru baadaeWadau wa tech hamjawai kuniangusha. Anayejua wireless earphones kwa android zenye mziki mzuri kama za wire.
Location: dar
Bajet 100k.
Brand nzuri.
Muundo mzuri.
Charge ndefu.
Picha ya mfano wa muundo ninayotafta
Shukran.
Sio rahisi kupata brands hizo kwa bajeti aliyo nayo.JBL or Sony. Jaribu hiyo
Hizo ni flagship , hawezi pata kwa hela aliyonayoJBL or Sony. Jaribu hiyo
Yeah, achague sasa, kuishi na bajeti au aende na mziki mzuriHizo ni flagship , hawezi pata kwa hela aliyonayo
Sure, na mimi nilitaka kumwonesha mziki mzuri pia ni gharama. Kama yeye nae ni mlevi wa music mzuri kama mimi, ataongeza pesa/bajeti or kama anataka bora music, zipo headphones hata za 50k, 40k 0r even 25k. Achague mwenyewe, mziki wa 250k or 500k.Sio rahisi kupata brands hizo kwa bajeti aliyo nayo.
unajifanya mjuaji kumbe fala.Sure, na mimi nilitaka kumwonesha mziki mzuri pia ni gharama. Kama yeye nae ni mlevi wa music mzuri kama mimi, ataongeza pesa/bajeti or kama anataka bora music, zipo headphones hata za 50k, 40k 0r even 25k. Achague mwenyewe, mziki wa 250k or 500k.
Watu mna hasira sijui za maisha au sijui kitu gani! Sasa ungekua muungwana si ungekuja na options badala ya matusi? Jadiri HOJA, sio MTOA hoja. Ungefatilia walau mtiririko wa mazungumzo nilianzia wapi; Good day my brother.unajifanya mjuaji kumbe fala.
mwenzako amesha-speficy kabisa bajeti yake ni 100k, halafu wewe unaleta habari za 500k
Kuna UZI humu unahusu hizi wireless headphonesWadau wa tech hamjawai kuniangusha. Anayejua wireless earphones kwa android zenye mziki mzuri kama za wire.
Location: dar
Bajet 100k.
Brand nzuri.
Muundo mzuri.
Charge ndefu.
Picha ya mfano wa muundo ninayotafta
Shukran.View attachment 3334508
tena wadau wamechambua kweli brands nyingi, unaweza kuusaka ni wa miaka kadhaa nyuma naona umepoa kidogo, ila ukipata muda ukaupitia utatoka na maarifa na chaguo sahihi... Nikiupata nakupa link..Kwa kuanzia tu hio brand alioweka kama mfano, asake product zake hatojutia ni nzuri sana . NAMAANISHA ANKER, ALAFU NAWE KIJANA UNANITENGA MNO.Kuna UZI humu unahusu hizi wireless headphonestena wadau wamechambua kweli brands nyingi, unaweza kuusaka ni wa miaka kadhaa nyuma naona umepoa kidogo, ila ukipata muda ukaupitia utatoka na maarifa na chaguo sahihi... Nikiupata nakupa link..
Kaa humu pia hutojutia agiza tu hapo aliexpressWadau wa tech hamjawai kuniangusha. Anayejua wireless earphones kwa android zenye mziki mzuri kama za wire.
Location: dar
Bajet 100k.
Brand nzuri.
Muundo mzuri.
Charge ndefu.
Picha ya mfano wa muundo ninayotafta
Shukran.View attachment 3334508
Anker wapo vizuri, hata power banks zao nzuri sana...Kwa kuanzia tu hio brand alioweka kama mfano, asake product zake hatojutia ni nzuri sana . NAMAANISHA ANKER, ALAFU NAWE KIJANA UNANITENGA MNO.
Ninaiwaza powerbank ila nimetumia bidhaa zao nyingi sana, ninazielewa sanaAnker wapo vizuri, hata power banks zao nzuri sana...
Nishatumia sana earphones kuanzia Anker, izo Oppo, Nothing Ear.. nk..Kwa bajeti yako ndogo tafuta oraimo
Wapo vizuri.
Hizo kwenye picha Anker Soundcore 50i uchafu tu. Anker kali ni Liberty 4 ambazo ni 180+Wadau wa tech hamjawai kuniangusha. Anayejua wireless earphones kwa android zenye mziki mzuri kama za wire.
Location: dar
Bajet 100k.
Brand nzuri.
Muundo mzuri.
Charge ndefu.
Picha ya mfano wa muundo ninayotafta
Shukran.View attachment 3334508