Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Wakuu hizi bundle za kibongo pasua kichwa sana 2500 kwa 150MB maisha magumu sana pande hizi.Msaada jamani tujikwamua la sivyo bora tu niuze haka ka moderm nilikochakua.
0 Reactions
34 Replies
3K Views
samahani wana jukwaa naombeni kwa ambaye ana zille program za ku unlock modem aniattachie na naomba tena anipe walau hatua za kufuata ila niweze kuunlock modem yangu ili niwe na uhuru zaidi wa...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
hey wapendwa naomba mwenye ujuzi na hili swala anisaidien ni jinsi gani nitaweza kuscan passport or document then ni edit. PLZZZZZZZZZZZ HELP ME
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Mimi ni miongoni mwa watanzania tulioingizwa mkenge na GTV. Nimebaki na king'amuzi chao. Je, kuna maujanja yoyote ambayo ninaweza kutumia king'amuzi hicho kwa DSTV au kampuni yoyote hapa nchini...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu habari za kazi, natumia windows 8 kwenye laptop yangu aina. Ya hp, but since nimeinstall hiyo windows 8, DVD Rm yangu haidetect any cd. Nimecheck drivers zote zipo safi any help pls
0 Reactions
7 Replies
1K Views
nimenunua simu ya samsung GT-E2222 Lakn kuna vitu sijavielewa yaan DNS 1 NA DNS 2. Anayejua anisaidie. Na2mia laini ya voda.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
I want to install addional domain with os 2008r2 to an existing server 2003 pdc but whenever i run dc promo i end up in this error. The following error occurred when DNS was queried for the...
0 Reactions
0 Replies
840 Views
techies and others naitaji msaada Hp laptop imetumika kwa miezi 6 tangu inunuliwe ghafla tu spika zimeacha kufanya kazi ila ukichomeka headphones zinafanya. tatizo nini msaada wenu ni muhimu sana...
0 Reactions
0 Replies
793 Views
NASA's Mars rover finds rock with Earth-like chemistryBy Irene Klotz | Reuters – 4 hrs ago Email Share1 Print Enlarge Photo Reuters/Reuters - This NASA image from Mars...
0 Reactions
2 Replies
796 Views
House-Size Asteroid Comes Closer to Earth Than the Moon Friday: Watch LiveBy Tariq Malik | SPACE.com – 14 hrs ago Email Share7 Print Related Content prevnext...
0 Reactions
0 Replies
973 Views
Super-Earth Planet Likely Made of DiamondBy Clara Moskowitz | SPACE.com – 14 hrs ago Email Share6 Print Related Content Enlarge Photo Illustration of the interior of …...
0 Reactions
0 Replies
937 Views
samahan kaka/dada zangu natumia simu ya nokia 6120C nikiwa natuma Multimedia Msg{MMS} zinafail na pia nikiwa ninatuma e-mail inakataa. Na line ninayo2mia ni ya vodacom Naomben msaada wenu au...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Disable Programs That Run When I Start Windows Does your PC takes long time to boot when you switch it on? The main reason could be the number of programs that run at system start up. Start up...
0 Reactions
0 Replies
888 Views
Wadau msaada kwenye tuta, naomba mwenye keys/license keys za IDM na Youwave anitupie. Nawasilisha
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Data loss is the most frustrating thing in computer industry. Are you just lost your important data and also formatted the disk for fresh installation or to get fresh copy? If you still want to...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
When you are on move and carrying important data in your flash drive, then you should have the portable version of essential software like Anti-Virus, Office, Password Manager, Browser, PDF reader...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
How to have Dual Boot Option on PC even after installing earlier versions of Windows later One can have dual boot option on PC to boot multiple operating system on single computer. For example...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Google Chrome OS comes bundled with Chromebooks and Chromebox. Either you will have to purchase these devices from nearest retailers or you may run Linux Distributions of the Chrome OS on any...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Jamani wana jf mimi nimedownload windows 8 kama moja ya thread humu inavyosema ila tatizo linakuja jinsi ya kuinstall hii window maana ina ukubwa wa 5.9264GB sasa nashindwa kupata DVD yenye ukubwa...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
wadau naomba mnisaidie nimedownload windows 8 pro activator inakuwa kama compressed haifunguki sasa nashindwa nifanyeje ili kuactivate. natanguliza shukrani zangu.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…