how to edit scan document or passport | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

how to edit scan document or passport

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by NR'S, Oct 9, 2012.

 1. NR'S

  NR'S Senior Member

  #1
  Oct 9, 2012
  Joined: Feb 14, 2012
  Messages: 107
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  hey wapendwa naomba mwenye ujuzi na hili swala anisaidien ni jinsi gani nitaweza kuscan passport or document then ni edit.
  PLZZZZZZZZZZZ HELP ME
   
 2. Mpangamji

  Mpangamji JF-Expert Member

  #2
  Oct 9, 2012
  Joined: May 12, 2010
  Messages: 536
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Mkuu unataka kuedit passport, unavusha nini?
   
 3. shimwemwe

  shimwemwe Member

  #3
  Oct 9, 2012
  Joined: Aug 7, 2012
  Messages: 65
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  edit inamaana nyingi sana, eleza unataka kupunguza ukubwa, kuandika maneno yako lakini waweza kutumia Picture Manager ni program ambayo ipo. wengine wanaweza kutoa maelezo zaidi
   
 4. Memo

  Memo JF-Expert Member

  #4
  Oct 9, 2012
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 2,147
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Nakubaliana na wewe.....

  Ila huyu mwenzetu anataka ku-edit passport.........hapo ndo penye shida hapo.!!
   
 5. Mpangamji

  Mpangamji JF-Expert Member

  #5
  Oct 9, 2012
  Joined: May 12, 2010
  Messages: 536
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Memo na wewe umeshituka eee, imenibidi kutembelea profile yake kuangalia vitu gani anapost na kupendelea, nimegundua kwa haraka haraka huyu jamaa kama si mjasiliamali basi kazi ipo.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 6. shimwemwe

  shimwemwe Member

  #6
  Oct 9, 2012
  Joined: Aug 7, 2012
  Messages: 65
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Mpangamji basi aliyeweka post ajitokeze aeleze anataka nini ili iwe rahisi kujua anataka nini.
   
 7. Nivea

  Nivea JF-Expert Member

  #7
  Oct 9, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 7,449
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Kaingia mtini chezea forgery weyeeeee
   
 8. wiseboy

  wiseboy JF-Expert Member

  #8
  Oct 9, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 2,713
  Likes Received: 1,893
  Trophy Points: 280
  dah kweli ww waweza kuwa upo dukan yule yupo bahari, yule analia yule anacheka, huyu anakaa yule anasimama, braza najua tu unataka kupiga mishe la kimaisha, funguka usaidiwe mbona ndo wote tu kwenye madili tofautitofauti
   
 9. NR'S

  NR'S Senior Member

  #9
  Oct 12, 2012
  Joined: Feb 14, 2012
  Messages: 107
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  napiga kazi za clearing and forward so sometime wateja wanaleta bill of landing without passport zao so inabidi nizitengeneze so nachukuwa muda mrefu kwenda stationary na kueditiwa so naomba msaada kama kuna mtu anajua ili niweze fanya mwenyewe ofisini
   
 10. Mpangamji

  Mpangamji JF-Expert Member

  #10
  Oct 12, 2012
  Joined: May 12, 2010
  Messages: 536
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  tafuta software inaitwa nitro pdf 8.0, unaweza kuedit scanned document yoyote, lakini mkuu usiitumie kuingiza dawa bandia, mtatumaliza. Hiyo software inapatikana Download music, movies, games, software! The Pirate Bay - The galaxy's most resilient BitTorrent site
   
Loading...