Gharama za Internet hazishikiki | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Gharama za Internet hazishikiki

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Wingu, Oct 10, 2012.

 1. Wingu

  Wingu JF-Expert Member

  #1
  Oct 10, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,326
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Wakuu hizi bundle za kibongo pasua kichwa sana 2500 kwa 150MB maisha magumu sana pande hizi.Msaada jamani tujikwamua la sivyo bora tu niuze haka ka moderm nilikochakua.
   
 2. Father of All

  Father of All JF-Expert Member

  #2
  Oct 10, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 3,093
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Mashirika yanayowahudumia ni matapeli wanaoshirikiana na watawala wenu majambazi. Hawataki nanyi mjue kinachoendelea ili msilete african rose revolution. Wapigeni chini mambo yatabadilika. Achana na utawala unaoshirikiana na matapeli kama Airtell, Cell Tell Tigo na majambazi wengine kuwadhoofisha kifedha na kiakili. Kupiga simu Kenya kwa mfano toka Americas ni nafuu mara tatu kuliko Bongo. Kwanini? Mnalizwa. Hata DRC na Burundi wametuzidi!@ Aibu!
   
 3. Wingu

  Wingu JF-Expert Member

  #3
  Oct 10, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,326
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Mkuu acha kabisa unajua kitu kikiwa kigumu kupatikana ndo watu wanakuja na janjajanja.Wangeshusha hizi gharama tusinge hangaika.Kulikuwa na 200 ya mpaka asbh wameingoa tayari yaani full maumivu
   
 4. Father of All

  Father of All JF-Expert Member

  #4
  Oct 10, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 3,093
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Mzinga pole sana. Bado the buck stops with you. Wang'oe Chama Cha Majambazi muone kama hamtafurahi na kujinoma. Huo ndiyo ushauri pekee nilio nao na ndiyo uliobakia.
   
 5. mathematics

  mathematics JF-Expert Member

  #5
  Oct 10, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 3,291
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 145
  sasa hivi zimepungua gharama kidogo, inategemea upo mtandao gani, kwenye internet airtel wanaongoza kuwa na gharama kubwa, mfano hapa chini ni gharama za internet kwa mitandao ifuatayo kwa kiwango sawa cha pesa na kifurushi cha siku 30.

  airtel- 2gb = 25,000/=
  voda- 5g = 20,000/=
  zantel 5gb = 20,000/=

  hapa ninatumia cha zantel na 5gb zinatosha saana kwa matumizi ya kawaida na kudownld vi-file vya kawaida!

  sijaweka gharama za tigo kwa the same amount ya 20,000/= sababu sijafahamu wao wanatoa ngapi gb kwa kiasi hicho cha fedha.
   
 6. StayReal

  StayReal JF-Expert Member

  #6
  Oct 10, 2012
  Joined: Sep 29, 2012
  Messages: 519
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Yani hapo kwenye simu ndio umenena kabisa, bongo inabidi upige mara mojamoja coz the price is just crazy, yani internet hapo tu kwa majirani zetu kenya is very cheap lakini kwetu kama jamaa wantukomoa vile. This country need a real revolution kwa kweli yani kila kona tunaibiwa!
   
 7. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #7
  Oct 10, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,789
  Likes Received: 7,111
  Trophy Points: 280
  anayesema tanzania tuna gharama kubwa za internet sio kweli msipotoshe watu long time ago niliwahi waletea humu gharama za internet za nchi jirani ni kubwa sana tanzania sisi tuna internet ya bei rahisi sana.

  tanzania shida yetu ilikua ni speed ndo sio ya ukweli na sasa hivi atleast speed imeimprove toka zimekuja modem za 7.2 mbps naona tigo, airtel, voda na zantel dar na zanzibar wameshageukia huko.

  Imagine unapata 5gb kwa 20,000 tu au unlimited kwa 30,000 ya 2gb an then speed inadrop 64KBps. Hamjioni mko lucky????

  Ngoja nikipata time ntawaletea bundles za nchi jirani za kenya na uganda na hili jukwaa la technology better mtoe mambo ya siasa
   
 8. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #8
  Oct 10, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,789
  Likes Received: 7,111
  Trophy Points: 280
  Hebu tuangalie wababe wa tz vodacom vs wababe wa kenya safaricom

  Nimepitia website ya safaricom viwango vyao vipo namna hii

  [table]
  [tr]
  [th]bundle[/th]
  [th]price ksh (tsh)[/th]
  [th]validity period[/th]
  [/tr]
  [tr]
  [td]4mb[/td]
  [td]5 (90)[/td]
  [td]7days[/td]
  [/tr]
  [tr]
  [td]8mb[/td]
  [td]10( 180)[/td]
  [td]7days[/td]
  [/tr]
  [tr]
  [td]16mb[/td]
  [td]20 (360)[/td]
  [td]7days[/td]
  [/tr]
  [tr]
  [td]40mb[/td]
  [td]50 (900)[/td]
  [td]30days[/td]
  [/tr]
  [tr]
  [td]80mb[/td]
  [td]100 (1800)[/td]
  [td]30days[/td]
  [/tr]
  [tr]
  [td]200mb[/td]
  [td]250 (4500)[/td]
  [td]30days[/td]
  [/tr]
  [tr]
  [td]500mb[/td]
  [td]500 (9000)[/td]
  [td]30days[/td]
  [/tr]
  [tr]
  [td]1.5gb[/td]
  [td]1000 (18,000)[/td]
  [td]30days[/td]
  [/tr]
  [tr]
  [td]3gb[/td]
  [td]1999 (36,000)[/td]
  [td]90days[/td]
  [/tr]
  [tr]
  [td]8gb[/td]
  [td]3999 (72,000)[/td]
  [td]90days[/td]
  [/tr]
  [tr]
  [td]25gb[/td]
  [td]11,499 (207,000)[/td]
  [td]90days[/td]
  [/tr]
  [/table]

  Source hii hapa
  Safaricom - PrePay Bundles

  Then kwa vodacom tanzania

  [table]
  [tr]
  [th]bei (tsh)[/th]
  [th]bundle[/th]
  [th]mda[/th]
  [/tr]
  [tr]
  [td]250[/td]
  [td]25mb[/td]
  [td]siku[/td]
  [/tr]
  [tr]
  [td]450[/td]
  [td]50mb[/td]
  [td]siku[/td]
  [/tr]
  [tr]
  [td]700[/td]
  [td]100mb[/td]
  [td]siku[/td]
  [/tr]
  [tr]
  [td]2,500[/td]
  [td]150mb[/td]
  [td]wiki[/td]
  [/tr]
  [tr]
  [td]7,500[/td]
  [td]500mb[/td]
  [td]wiki[/td]
  [/tr]
  [tr]
  [td]10,000[/td]
  [td]unlimited[/td]
  [td]wiki[/td]
  [/tr]
  [tr]
  [td]8,000[/td]
  [td]500mb[/td]
  [td]mwezi[/td]
  [/tr]
  [tr]
  [td]15,000[/td]
  [td]1gb[/td]
  [td]mwezi[/td]
  [/tr]
  [tr]
  [td]20,000[/td]
  [td]5gb[/td]
  [td]mwezi[/td]
  [/tr]
  [tr]
  [td]30,000[/td]
  [td]unlimited[/td]
  [td]mwezi[/td]
  [/tr]
  [tr]
  [td]*****[/td]
  [td]*****[/td]
  [td]*****[/td]
  [/tr]
  [/table]

  Haya wadau oneni tofauti ya tz na kenya unaweza ukataja mtandao wako wa nchi fulani unayoona rahisi tufanye comparison

  Hapo hujataja saa 4 usiku hadi asubuhi sh 200 tu then ukinunua leo kesho wanakupa bure
   
 9. mathematics

  mathematics JF-Expert Member

  #9
  Oct 10, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 3,291
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 145
  Thenkyu chief mkwawa kwa hizo data,
  kwa comparison hapo ,

  Safaricom unapata 1.5gb = TSH 18,000/=
  Vodakom unaoata 5gb =TSH 20,000/=

  na hapo ni kwamba umetumia exchange rate ya 18 ungetumia exchange rate ya 20 bila shaka ingekuaja 20,000/=

  vilevile ORANGE KENYA internet everywhere 3G
  1GB = 750 KSH = 15,000/=
  5GB= 2750 KSH = 55,000/=

  Hivyo TZ tuna unafuu !!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 10. Paje

  Paje JF-Expert Member

  #10
  Oct 10, 2012
  Joined: Apr 24, 2010
  Messages: 1,198
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  yap ni nafuu kabisa. nunua kifurushi cha mwezi mzima cha tigo kwa tsh 8500 tu. utabrowse, utasoma nyuzi ila hutoweza kudownload au ku stream video ikiwa hutokuwa mjanja. na ukiwa mjanja kidogo utaweza yote.
  angalia maelezo yao wenyewe wanaita month.
  (Month allow you to browse facebook,twitter, emails etc for FREE and 600MB which can e.g be used to download 50 songs and 90min streaming.)
   
 11. nurbert

  nurbert JF-Expert Member

  #11
  Oct 10, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 1,925
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  daaaaaaaaaaaaaaahhhhh mtawafumbuaaa waku huku tuna faidi xanaaaaaa
   
 12. Donn

  Donn JF-Expert Member

  #12
  Oct 10, 2012
  Joined: Jun 5, 2012
  Messages: 2,450
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Mpaka hapa naona TZ Tunaenjoy net, cha msingi tulilie coverage tu na speed :coffee:
   
 13. mathematics

  mathematics JF-Expert Member

  #13
  Oct 10, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 3,291
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 145
  very tru,
   
 14. Nyenyere

  Nyenyere JF-Expert Member

  #14
  Oct 10, 2012
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 8,567
  Likes Received: 1,932
  Trophy Points: 280
  Mkuu sijakusoma hapo. Mimi huwa najiunga kila siku.
   
 15. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #15
  Oct 10, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,789
  Likes Received: 7,111
  Trophy Points: 280
  Mi juzi wamenitumia message unga leo upewe kesho bure nikaunga nkatumia juzi na jana. Kwa sh 200.

  Sjaconfirm kama ni watu wote au baadhi tu kama line haina hela usieke kwanza jaribu kama itakubali then ikikataa ndio unga
   
 16. m

  mgomba101 JF-Expert Member

  #16
  Oct 10, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 1,788
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Mkongo wa taifa a.k.a fiber optic cable! walisema utapunguza gharama za simu na internet. Hii nchi ni shamba la bibi!
   
 17. Root

  Root JF-Expert Member

  #17
  Oct 10, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 26,263
  Likes Received: 12,981
  Trophy Points: 280
  Jamani Tanzania wako vizuri kuzidi hata India kwani India wana 3g ambapo ni mtandao mmoja tu wa reliance. Airtel,vodafone wote wa 2.5g so ziko slow ile mbaya yaani unanunua bandle ila unajuta kuwa nayo kwani mb 1 unaweza download kwa dakika tano

  Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
   
 18. Nyenyere

  Nyenyere JF-Expert Member

  #18
  Oct 10, 2012
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 8,567
  Likes Received: 1,932
  Trophy Points: 280
  Inawezekana maana kila nikiunga leo, kesho yake napata taabu sana kwa vile inadai tayari nimeshaunganishwa. Huwa narudia mara nyingi ndipo inakubali.
   
 19. Brakelyn

  Brakelyn JF-Expert Member

  #19
  Oct 10, 2012
  Joined: Oct 6, 2009
  Messages: 1,236
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Mimi Airtel 400MB kwa 2,500/= tu kwisha kazi, nikitaka kuDownload ni Vodacom Unlimited tu hakuna wengine',,,!!!
   
 20. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #20
  Oct 10, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,789
  Likes Received: 7,111
  Trophy Points: 280
  Kama unaunga leo sa 6 usiku ujue kesho itaendelea hadi sa 6 usiku so sa 4 usiku kesho itakua bure na sa 5 bure ni masaa 24 kamili.

  voda bora watoe vocha za 200 kama zantel
   
Loading...