msaada pls natumia windows 8

hp4510

JF-Expert Member
Jan 16, 2012
6,435
6,283
Wakuu habari za kazi, natumia windows 8 kwenye laptop yangu aina. Ya hp, but since nimeinstall hiyo windows 8, DVD Rm yangu haidetect any cd. Nimecheck drivers zote zipo safi any help pls
 
ithink hiyo windo itakuwa hipo poa.either kwa sababu itakuwa unatumia kwenye device ambayo hijawa configured from kiwandani .ni mtazamo wangu tu.kwani kipindi natumia developer ya windows 8 ilikuwa hata moderm ina goma fanya kazi na badhi ya software ila nilipo itoa na kurudisha windows 7 ikawa fresh
 
bila shaka umeinstal windows 8 consumer previewer kama ni iyo mkuu ni kweli cd rom yako inawezakuwa haidetect mana hii sio complete version ivyo baadhi ya features haziwez fanya kazi,cd rom yako ni nzima kabisa wala usiwe na wasiwasi mkuu,jaribu kubadili window au kununua original windows 8
 
Thanx kwa ushauri buddy, kama kuna mtu yoyote mwenye windows 7 kwenye flash au external anijulishe nimtafute nibadilishe windows then tutamalizana
 
Wakuu habari za kazi, natumia windows 8 kwenye laptop yangu aina. Ya hp, but since nimeinstall hiyo windows 8, DVD Rm yangu haidetect any cd. Nimecheck drivers zote zipo safi any help pls

Hayo ni matatizo ya kutumia trial versions. Pole nashauri uiong'oe hiyo halafu urudishe ya zamani.
 
Kama unaipenda windows 8 kama mimi hapa, unaweza kuingia ukadownload windows 8 pro final (Mi natumia naw na kila kitu kinafanya kazi) Ukiweka hiyo utasahau haya matatizo mengine yote
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom