Nina King'amuzi cha iliyokuwa GTV je naweza Kukifanya kitumie Kadi ya DSTV au Zuku au TING? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nina King'amuzi cha iliyokuwa GTV je naweza Kukifanya kitumie Kadi ya DSTV au Zuku au TING?

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by eedoh05, Oct 11, 2012.

 1. e

  eedoh05 JF-Expert Member

  #1
  Oct 11, 2012
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 633
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 45
  Mimi ni miongoni mwa watanzania tulioingizwa mkenge na GTV. Nimebaki na king'amuzi chao. Je, kuna maujanja yoyote ambayo ninaweza kutumia king'amuzi hicho kwa DSTV au kampuni yoyote hapa nchini?

  Jambo la pili, ninatumia dishi kubwa la inchi 8. Fito zake zimeliwa na kutu na kukatika kwenye maungio yake. Je, kuna uwezekano wa kupata fito nyingine? au je hizi zinarekebishika, je ni kwa kiasi gani na wapi huduma hiyo hupatikana kwa hapa Dar es Salaam?
   
 2. grafani11

  grafani11 JF-Expert Member

  #2
  Oct 12, 2012
  Joined: May 24, 2011
  Messages: 15,534
  Likes Received: 342
  Trophy Points: 180
  Umeshaliwa wewe mpaka unaulizia fito hapa...anyway pole
   
 3. k

  kamkoda JF-Expert Member

  #3
  Oct 12, 2012
  Joined: Sep 20, 2012
  Messages: 396
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Pole sana!!! tuendako si ajabu tukawa na ving'amuzi nane ndani!!!
   
Loading...