Kama unajua usisite Tafadhali nisaidie

Jul 14, 2012
60
4
samahan kaka/dada zangu natumia simu ya nokia 6120C nikiwa natuma Multimedia Msg{MMS} zinafail na pia nikiwa ninatuma e-mail inakataa. Na line ninayo2mia ni ya vodacom
Naomben msaada wenu au configuration/setting za e-mail kwa kutumia voda.
 
Nadhani nyie member mnaochipukia lengo lenu ni kujaza bandwith tu ili tujue mpo!!!
Mtu ushaomba msaada huko nyuma na watu wamejipinda kukusaidia,umetoa thenk yu tukajua tatizo kwishney.
Sasa unaleta madudu gani tena
 
Plz, hzo thread zko tofaut na km ulikuwa hauna cha kunisaidia ungepita 2. Cyo kuniambia na post madudu. Kat yng na ww nan kapost madudu. Ckushangai nahc ulicho andika kinafanana na jina lako.
 
natumia simu Ya Nokia 6120c naomba msaada wa settings za E-mail mara m2 atakapokuwa anani2mia niwe naipata moja kwa moja kwny MAIL BOX. Ahsanten

samahan kaka/dada zangu natumia simu ya nokia 6120C nikiwa natuma Multimedia Msg{MMS} zinafail na pia nikiwa ninatuma e-mail inakataa. Na line ninayo2mia ni ya vodacom
Naomben msaada wenu au configuration/setting za e-mail kwa kutumia voda.

Hapo kwenye Red ushasaidiwa kijana labda jipya ni hiyo MMS but kwa nidhamu yako uliyoonyesha we endelea kusubiri hapo.
 
duu job true true ngoja nikusaidie ilo tatizo lako ni rahisi sana piga hapa 100 utapata maelezo mazuri tu..

kila la kheli..
 
Umefanya kosa kubwa sana unamwambia chief amekurupika hawa ndo watu wakukusaidia hili jukwaa.Aun wewe mgeni hili jukwaaa

Msameheni jamani wageni hawa wamekuja kujiunga humu kutokana na sifa walizoisikia jf na tukianza kumtosa atajisikia vibaya,emmanuel kijana chief-mkwawa ndio mtu wa kukusaidia muombe msamaha tu muende naye sawa,haja ya mja unena muungwana vitendo kuteleza kupo,leo umeleta vitu vi2 email settings na mms,email settings ushasaidiwa,sasa kwanin usingeanzisha sredi ya mms tu? Emma kila Jukwaa lina wataalamu wake ukienda mmu huko utawakuta kina gfson,snowhite,ukienda kwenye siasa utawakuta kina Ritz,Rejao,ukienda chitchat utawakuta kina madame B,ukienda kwenye matangazo madogodogo utawakuta kina Akiri,ukienda kwenye mapicha utawakuta kina boflo,mbuzi mzee,ukienda jf doctors utawakuta kina MziziMkavu,ukienda kwenye sheria utawakuta kina Rutta kwahyo karibu JF Emma.
 
Last edited by a moderator:

Ahsante kaka kwa ushauri wako nimekuelewa. Nisamehen.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom