Hp Internal speakers zimeacha kufanya kazi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hp Internal speakers zimeacha kufanya kazi

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Livanga, Oct 12, 2012.

 1. Livanga

  Livanga JF-Expert Member

  #1
  Oct 12, 2012
  Joined: Apr 15, 2010
  Messages: 458
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 45
  techies and others naitaji msaada

  Hp laptop imetumika kwa miezi 6 tangu inunuliwe ghafla tu spika zimeacha kufanya kazi ila ukichomeka headphones zinafanya. tatizo nini msaada wenu ni muhimu sana
  Nimejaribu kuinstall tena drivers lakini na nimegundua ni tatizo la hp nyingi kwani sasa zimefika tatu zenye tatizo hilo.
   
Loading...