Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Wanajukwaa hili la sayansi, mbona ving'amuzi vya startimes vinakwamakwama sana unapoangalia chanel za ndani kuliko chanel za nje? Yaani nilikuwa naaagalia Hamza Kasongo hapa nimeboreka sana. Hivi...
0 Reactions
13 Replies
5K Views
idman612 au idman612b26 nnaziomba wakuu!
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wadau Naomba kujua ipi simu nzuri hasa kwenye upande wa intarnet kati ya nokia 6120c au N70?. Nawasilisha
0 Reactions
8 Replies
1K Views
naomba msaada website ya kuweza kudownload whatsapp,sim yangu ni samsung omnia i900 inatumia windows 6.1,nmetafuta mpaka nmechoka,pia jins ya kui upgrade itumie windows 6.5 natanguliza shukran
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Ni Njia gani Rahisi ya Kuhamisha Contact Kutoka kwenye Nokia N9 kwenda kwenye Samsung Galaxy S2?please msaada
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Naomba msaada wa ku-jailbreack iphone 3g,nina iphone 3g yenye 4.2.1 nataka kupata cydia mwenye uelewa naomba msaada.
0 Reactions
1 Replies
863 Views
Hi wakuu. Sorry nilitaka kuuliza hii kitu kwa manufaa yangu na others watakaokua interested. Ni simu gani ambazo bei yake ni affordable ina speed nzuri katika internet? Itakayo mvutia user kwa...
2 Reactions
57 Replies
18K Views
Nitapatia wapi hiyo code nimesubiria mpaka basi nimeambiwa nitatumiwa tangu asubuhi mpaka sasa ivi sijaipata. Ni cracked application nimeinstall kwenye nokia 5130 expres music
0 Reactions
4 Replies
1K Views
wakuu vipi? naomba masses wa procedures katika kuunganisha configurations za Internet in iPhone 4. now nikiingia net itakaa kuzunguka ata masaa sita without any effect. natanguliza shukrani.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
ni namna gani naweza kumjua mahali mtu alipo kwa kutumia namba yake ya simu bila kumpigia! Naombeni msaada wenu wakuu. Hata kama niyakulipia online. Please wakuu ninashida sana.
0 Reactions
23 Replies
2K Views
habari zenu wadau, natafuta box la kuflashia simu sasa sijajua lipi litanifaa na linauzwaje.... Naomba msaada wenu katika hili
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Heshima kwenu wakuu Natumai hamjambo.Naomba msaada ni jinsi gani nitawezafanikiwa kuifungua tovuti hii maana kila nikijaribu kuifungua...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hallow wanajamii MATABULA’S ORPHANS, STREET CHILDREN AND WIDOWS FOUNDATION (MOWSF) is a satellite project of the Equal Opportunities for All Trust (EOTF). EOTF is a local Tanzanian registered...
1 Reactions
5 Replies
852 Views
Wakuu nina simu Google Ideos Android version 2.2.1 inatumia line ya tiGO pekee,leo tangu asubuhi imegoma ku connect internet.mwenye ujuzi tafadhali, thank you in advance
0 Reactions
3 Replies
794 Views
Nimetengeneza forum hii hapa kwa ajili ya kila mmoja wetu, either u mjasiriamali, au umeajiriwa, au ni mwajiri au unasaka kazi.... This forum is for all of us. The forum is: www.ajira.org Weka...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
wakuu naomba msaada wa codes za TV ya SONY kwa ajili ya hii remote control au mwenye manual au kuiwezea kutumia hii kitu asaidie UNIVERSAL REMOTE CONTROL 10-1 AV10 Shukran
0 Reactions
0 Replies
8K Views
Nilidownload Activator ya windows 8 pro na avast antivirus ikaidetect kuwa ni kirusi nikaamua kuzima antivirus na ikakubali na windows ikawa activated niliporestart pc ikawaka lakini mouse cursor...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Msaada wandugu kama nilivyo eleza hapo juu nataka kutumia kwa laptop thanks
0 Reactions
2 Replies
3K Views
naomba msaada simu mzuri ya nokia mzuri kwa internet isiyozidi 150000
0 Reactions
2 Replies
1K Views
habar wakuu. natumia Opera mini kuingia jf ktk simu yangu. tatizo ni kwamba, kila nikiingia jf inanidai tena password. wakati pale penye kibox(remember me) nawekaga tick. Opera hii hii...
0 Reactions
3 Replies
959 Views
Back
Top Bottom