computer education centre

M

mseveni

Senior Member
Nov 22, 2012
125
195
hi wana jf
Nimekuwa nikisoma topic za jf, Ama kweli jf ni website ya watu na heshima zao, ila mm nimekuja na wazo langu, mm ni graduate bed computer science niko kilimanjaro nimeajiriwa na serikali ila nimekuwa ni kimake hela nimeshanunua computer 2 ila nilikuwa Naomba kama Nawezakupata Sehemu au mtu wa kuniongezea fund ili niwezeze kufungua computer center ya Kisasa maana nikipata computer zingine kama kumi zitanitosha kwa kuanzia, asante, unaruhusiwa kutoa mawazo au , munawaweza kunisaidia link ambazo zinatoa misaada au fund kwa watu wanaotaka Ku invest kwenye technilogia
 
Top Bottom