MSATULAMBALI
Senior Member
- Apr 1, 2012
- 187
- 55
Msaada wadau nimeibiwa BLACK BERRY TORCH sasa nauliza kama naweza ikamata au kujua ilipo kwa kutumia pin yake au ni ngumu kutrace? Vijana magomen wameniweza jana...please mwenye ujuzi wa kutrace anielekeze maana kuna mawasiliano yangu ya muhimu sana mule nikiyapoteza I'm finish