msaad Please: Naomba manual book ya Toyota Nadia

msaad Please: Naomba manual book ya Toyota Nadia

Mupirocin

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2011
Posts
1,763
Reaction score
819
Habari za usiku wadau wa JF;
wakuu nina kakimeo kangu ka Nadia napenda kujua baadhi ya parts za gari. Gari inayo manual lakini imeandikwa kijapan ambayo hata kutafsiri tu sijui. Naomba ambaye anaweza nisaidia kuipata soft copy au hata hard copy tuwasilaiane au aiweke hapa ili wanaJf nao wapate faida coz najua wengi tunahitaji. Naamini JF ni source ya every thing. Natanguliza shukrani za dhati.
 
why dont u google an english version of it and then u can print it if u desire!
 
why dont u google an english version of it and then u can print it if u desire!

mkuu nimeshagoogle sana lakini bado sijapata. Naomba msaada kama unayo. Naomba please.
 
why dont u google an english version of it and then u can print it if u desire!

mkuu nimeshagoogle sana lakini bado sijapata. Naomba msaada kama unayo. Naomba please.
 
Back
Top Bottom