Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Wadau. Kama kunamjuzi wa sala hili anisaidie niweze kuiunlock hii modem cuz nimeangaika vya kutosha bila mafanikio.naomba msaada wenu ni unlock parmenty plzzzzzz
0 Reactions
19 Replies
868 Views
wakongwe na wazoefu natumia simu na nataka kubadili avater pic ya profile yangu je inawezekana na kwa njia ipi?
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Naitaji joiku hotspot premium coz aloweka humu bwana chief mkwawa ni light nimeidownload kwenye simu yangu ya symbian iyo light haipg kaz,naitaj premium au kama kuna aplication ingne ya kufanya...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Wadau nimepata window 8 ila ni ya kudownload sasa naombeni ushauri ni nzuri ili niiweke kwenye machine?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
naomba wadau mlionunua cm za Huawei Ascend Y200 kutoka tigo tupen ubora wake na mapungufu yake.. sawasilisha
0 Reactions
0 Replies
740 Views
Heshima mbele wanajf! naombeni msaada wa kupata notes ambazo nnaweza kujifunzia office 2007. nimejaribu kugoogle ila sijapata zilizokaa vizuri naombeni mnisaidie labda website ya kuzipata au...
0 Reactions
3 Replies
871 Views
Jamaa Tusaidiane,Hivi JF imetengezwa Vp?Au Kupitia software gani?Nisaidieni Please!
0 Reactions
36 Replies
5K Views
Wadau, Nampango wa kununua kausafiri aina ya Suzuki Kei. tafadhali mdau yeyote mwenye kuijua kwa undani zaidi km vile fuel consumption, technical weakness na ushauri mwingine kwa ujumla...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Kwa anajua kutengeneza website nzuri.afanye na hosting with affordable price, good quality, dynamism and simple to use and maintain.
0 Reactions
31 Replies
3K Views
Wakubwa habari ya Boxing day. Nina tatizo la flsha disc yangu. Sijui imekuwaje lakini haitaki kuchukua files (Ukitaka kusave) pamoja na tatizo la kufunguka. Ukitaka kusave document inakwambia...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Ndugu wana jf habari zenu.Naomba msaada kwa anaefahamu UBORA wa sim hii SAMSUNG U900V je waweza fikia NOKIA N70?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu Nilikua natumia modem ya Zain ile ya zamani, sasa kuanzia tarehe moja hii modem haishiki tena network. Nimejaribu kutoa line na kuweka kwenye simu line inafanya kazi. Nimejitahidi kupiga...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Leo BAKITA wameujulisha umma tafsiri sahihi ya maneno kama ifuatavyo: Decoder............. Kisimbuzi (kusimbua -decode) Detector........... King'amuzi (kung'amua - detect) Kwa mujibu wa...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Wana JF,Nina simu yangu aina ya samsung omnia 8000 II.,ni windows phone. Sasa nataka kuinstall android,,kama kuna mtu anaweza kunipa msaada huo tafadhali nisaidie!
0 Reactions
0 Replies
805 Views
The Milky Way Is Home to 100 Billion Scary Alien Planets Enlarge PhotoThe Milky Way Is Home to 100 Billion … A new study published in the peer-reviewed Astrophysical Journal presents...
0 Reactions
1 Replies
988 Views
habari waungwana na wataalamu wa masuala ya teknohama. Nimefungua blog inayo jikita zaidi kwenye masuala ya fashion zaidi link streetswaggerific.blogspot.com naombeni mnipe ushauri kwa nia ya...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Eeh bana nina mpango wa kwenda dar kununua laptop kwa mara ya kwanza in dar,kuhofia kuingizwa mkenge maeneo ya kariakoo wala msimbazi sipiti kutafuta huu mzigo. Nataka kununua brand new...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Salamu wana JF.nina TV aina ya hitachi.niliinunua mwaka 2006 mwezi september(New brand).huitumia marakwamara.lakini leo naona ile taa nyekundu inawaka kama indicator(inawaka na kuzima).kwa kawaida...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
habari wana jf naomba msaada wenu natafuta hii program WiFi Password Hack v2.1_2 kama kuna yoyote anaejua jinsi ya kupatikana kwakwe anipe link nyingi zilizopo huwa zipo ktk rar na zina password...
1 Reactions
1 Replies
3K Views
wakubwa zangu wote shikamoni naomba msahada wenu wahali na mali katika hili natumia NOTEBOOK aina ya ACER-"ASPIRE ONE" na tatizo langu kubwa ni kwamba ina fail kusoma usb na flash nikichomeka na...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…