Zanta
JF-Expert Member
- Apr 4, 2011
- 2,028
- 797
Wakuu
Nilikua natumia modem ya Zain ile ya zamani, sasa kuanzia tarehe moja hii modem haishiki tena network. Nimejaribu kutoa line na kuweka kwenye simu line inafanya kazi. Nimejitahidi kupiga customer care hawapokei, nimejaribu kuiweka kwenye hii modem kwenye computer nyingine bado haifanyi kazi. Sasa kwa yeyote anajua tatizo ni nini aniasaidie! Kabla sijawazukia hao air tel .
Shukrani