Mzee wa fund
JF-Expert Member
- Oct 24, 2010
- 514
- 90
Salamu wana JF.nina TV aina ya hitachi.niliinunua mwaka 2006 mwezi september(New brand).huitumia marakwamara.lakini leo naona ile taa nyekundu inawaka kama indicator(inawaka na kuzima).kwa kawaida taa hiyo huwaka ikiwa TV imezimwa na mara niwashapo huzima,lakini TV huonesha picha kama kawaida.hataleo picha naziona kama kawaida.naombeni msaada tafadhali.