Sizinga
Platinum Member
- Oct 30, 2007
- 9,567
- 7,460
Eeh bana nina mpango wa kwenda dar kununua laptop kwa mara ya kwanza in dar,kuhofia kuingizwa mkenge maeneo ya kariakoo wala msimbazi sipiti kutafuta huu mzigo. Nataka kununua brand new laptop,hapa naomba ushauri wakongwe,plan yangu nikanunue pale Quality centre,ukiachilia mliman city ni wapi au maduka gani wanauza huu mzigo? Software zangu nyingi ni za 32-bit,lakini mpango wangu nichukue 64 bit,vp hazitazingua hizi software,like autocad na linux etc? Hiyo lap isizidi bei laki 8... Mwenye configuration nzuri anaweza atiririke pia. Msaada plz...!!