Nahitaji kutengenezewa website

Tabutupu

JF-Expert Member
Nov 26, 2010
13,108
18,325
Kwa anajua kutengeneza website nzuri.afanye na hosting with affordable price, good quality, dynamism and simple to use and maintain.
 
Kwa anajua kutengeneza website nzuri.afanye na hosting with affordable price, good quality, dynamism and simple to use and maintain.

Hi there!
Tuna host website at very reasonable price, just 108,000 per year + FREE website designing

Please see some details on www.primax.co.tz
Email us on info@primax.co.tz or call me on 0767659145
 
Kwa anajua kutengeneza website nzuri.afanye na hosting with affordable price, good quality, dynamism and simple to use and maintain.

hosting no problem, hujaspecify unataka website ya aina gani? Personal pages? Blog? Cms? Ntakufanyia kwa bei sawa na bure
 
Kwa anajua kutengeneza website nzuri.afanye na hosting with affordable price, good quality, dynamism and simple to use and maintain.

Mkuu, hiyo website:
1. Itakuwa inahusu nini?
2. Itakuwa na kurasa ngapi?
3. Ni personal au company website?
4. Content zake ataandaa nani, wewe au designer?
Hata hivyo namna nzuri ni kusema kwanza inahusu nini maana nimeshakutana na mtu anataka website simple (kwa madai yake) ya baei rahisi lakini aliponionesha kazi nikaishiwa nguvu, ina page zaidi ya 19, ingehitaji blog, shopping cart, forum na mengine mengi.
 
mpaka hapo ishajidisqualify kwanini ufungulie browser moja tu na sio zote think twice man..

wewe wasema, fyi huwa natumia mda wangu wa ziada kudesign web sio kama ndio kazi yaani najifurahisha upo?

Kama wewe ndio kazi basi hata nusu yangu ya kutengeneza web haujafikia.......... unabisha?
 
wewe wasema, fyi huwa natumia mda wangu wa ziada kudesign web sio kama ndio kazi yaani najifurahisha upo?

Kama wewe ndio kazi basi hata nusu yangu ya kutengeneza web haujafikia.......... unabisha?

Mkuu hata kama unafanya kwa kujifurahisha iweje umpangie mtumiaji browser ya kutumia? Inabidi uhakikishe anaweza kutumia browser yoyote....

Mtu anakupa ushauri unamwambia ata nusu yako yakutengeneza web hajafikia.... nilivyochunguza iyo website yenyewe ulichofanya ni kuedit template ya joomla ambayo ipo, napo utajihesabu unatengeneza website...
But all in all, website nzuri inatakiwa atleast iweze kufunguka vizuri kwa major browsers
 
wewe wasema, fyi huwa natumia mda wangu wa ziada kudesign web sio kama ndio kazi yaani najifurahisha upo?

Kama wewe ndio kazi basi hata nusu yangu ya kutengeneza web haujafikia.......... unabisha?

mkuu mbona povu linakutoka ndo maana kama ni just for funny basi jitahidi ifunguwe kwenye browser nyingi sawa mkuu usipende kulialia tu mkuu..
 
Mkuu hata kama unafanya kwa kujifurahisha iweje umpangie mtumiaji browser ya kutumia? Inabidi uhakikishe anaweza kutumia browser yoyote....

Mtu anakupa ushauri unamwambia ata nusu yako yakutengeneza web hajafikia.... nilivyochunguza iyo website yenyewe ulichofanya ni kuedit template ya joomla ambayo ipo, napo utajihesabu unatengeneza website...
But all in all, website nzuri inatakiwa atleast iweze kufunguka vizuri kwa major browsers

bora umemaliza mkuu..
 
Requirements zako ni zipi?
Personal web au Company web?
content zake ni zipi ...hapo atleast ndo itakuwa vizuri nikupe direction
http://www.infosoftz.com
0754745031 or 0713 745031
 
Kwa anajua kutengeneza website nzuri.afanye na hosting with affordable price, good quality, dynamism and simple to use and maintain.

Hapa uelezee nini kipimo chako cha:
1. affordable price
2. good quality

Ukijibu hapo nitaona kama niingie au niwaachie wengine!
 
Mi naona ifike wakati jukwaa hili tukubaliane katika hili, kwa sababu inaniwia vigumu kwamba kuna kampuni hapa dar wanatengeneza web bei ya chini laki nne na juu mpaka mil 2.5, sasa inapotokea mtu anasema ana-design website bure! hilo ndilo nashindwa kulielewa, naombeni ufafanuzi wenu tafadhari.
 
Mkuu huo sio ushauri, huyo jamaa kabeza coz hiyo web kumwambia atumie firefox technical hiyo web ipo kwenye matengenezo lkn akitumia firefox ataona web vizuri hiyo ni ya mfano kuwa atizame akitaka kwa bei hiyo anatengenezewa.
 
You as the designer you have to be able to see things from all angles as a designer,user and client.Tatizo wengi hudesign system na kudhania watumiaji wanaufahamu kama wao(usability and usefulness of a system).Kwa mfano wengi humu mna browser kibao mozilla,opera,google chrome,safari,IE ila kwa taarifa tu watumiaji wengi wanatumia internet explorer.Ndiyo maana unapotengeneza website unatakiwa kuitest kwa browser zote.Tatizo letu wa tz ukijua kidogo tu,majigambo kibao(Action speak louder than words) tubadilike.Siwezi kwenda into details ila kwa yeyote ambaye anajifunza web,internet explorer inasumbua ktk kuonyesha web contents hasa kama umetumia js,au button zako umetengeneza ziko ktk format za picha.Ila kuna solution.
Huwezi kufanya kazi bure,wanaosema wanadesign website bure wanajua wao,fani imevamiwa raia wanaibiwa kwani wao wanachotaka akibofya vitu vibadilike.
Nadhani maamuzi yanabaki kwa mteja,nimeona website nyingi ,zina makosa kibao zingine contents zinaoverlap one another.Mteja anayependa vya bure atajiju,ila kwa sababu hakuna board inayosimamia quality ya hivi vitu basi ni fujo tu.
Dont sell youself short,kama najiamini kwanini nimfanyie mtu kazi bure?Kwa wanaojua programming huwa inachukua muda wa mtu sana tu,sometimes unaweza poteza masaa kibao unatafuta solution ya kitu,labda wanatumia template.
Tubadilike,itafikia web zitakuwa zinauzwa njiani kama ramani za nyumba zinavyouzwa barabarani ubungo.
 
Poa sana kaka Donn sasa mimi nimesha tengeneza na nimeona hapo kwako naweza kukutumiaje pesa kwaajiri ya kupublish?
 
Back
Top Bottom