Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Katika Video hii tutaangalia jinsi unavyoweza kuedit template yako ya joomla bila msuli wowote kwa kutumia Firebug. Mpaka unamaliza video hii utakuwa na uwezo wa kubadirisha chochote utakacho...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Baada ya kuzimwa mitambo ya analogia, Leo kimeeleweka nani alijipanga na nani hakujipanga, hayo yamethibitishwa kwa clouds tv ambao toka Mitambo izimwe usiku wa leo wao hawapo hewani hasa kupitia...
3 Reactions
45 Replies
6K Views
Ilianza na tabia ya kuganda katikati ya kazi nikabadilisha Heat sink sasa imekuwa haitaki kufungua Window, hata ukifanya Installation ikifika sehemu ya SET UP IS STARTING WINDOW inaganda hapo...
0 Reactions
40 Replies
4K Views
Kwa wale wote mlio sahau security codes za simu aina ya nokia 2 kuna website mpya yakuku saidia ku unlock it billa ku i flash unacho itaji 2 ni imei ya cm yako kama kuna m2 yuko in need nitafute...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
ndungu zang kwa sisi wa mikoan nadhan toka dhaman tunatumia madish me npo morogoro dish lang la futi sita na receiver yang ni mediacom ya korea nimefunga lnb moja napata itv,eatv, star...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wadau hivi mnajua kuwa kuna tecnlojia ya kuvuna/kunasa senene ambao ni wadudu maarufu kwa baadhi ya makabila hapa nchini? tazama technolojia hii iliyobuniwa na watu ambao hawakupita darasani bali...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
waungwana mnisaidie 3 frequenc za Trenet na CloudsTv, kunawatu wanaziona FTA nimejarjb Nimepata tv Imman tu. na zile 5 zilizosajiliwa. Pia nilkua napata KBC1 na WBSTV ktk 'KU' niloifunga...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Mambo sio mambo kwa kituo cha runinga cha Clouds TV. Baada ya signal kuwa scrambled usiku wa kuzima mitambo ya analojia, Clouds walikomaa hivyo hivyo kwenye list ya king'amuzi cha Star Times na...
0 Reactions
46 Replies
8K Views
changamoto yangu ni Natumia vlc media player kwenye pc,nikiweka nyimbo kwenye flash au nikiban kwenye dvd au cd nyimbo chache ndizo zinacheza kwenye deck zingine zinaleta mesegi unsupported format...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
wakuu, simu yangu ya nokia E72 inasumbua kamera. Yaani kamera haifunguki kabisa. Mafundi wa huku mtaani wameishindwa kabisa. Nataka niende K/KOO nikampe fundi. So naombeni msaada ni fundi...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Nimekiza Clouds jana na leo kuhusu kukamatwa kwa mtoto wa kufikia wa Rais mstaafu wa Zanzibar. Wadau tushushieni hiyo tecnoljia aliyoitumia jamaa mpaka kumnasa mwizi.
0 Reactions
14 Replies
3K Views
heshima kwenu wana jf. PC YANGU INAKOROMA SPIKA SHIDA NI NINI WATAALAM WA JF...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wakuu kuanzia leo napata messege hii kwenye PC yangu " Ask for genuine Microsoft Software " " You may be a victim of software counterfeiting. This copy of windows did not pass genuine windows...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
NEWS ANALYSIS: Microsoft didn’t have the best 2012. And many of its troubles can be attributed to several products both it released and others that competitors introduced...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
nimefungua moja kati ya program kwa kutumia shortcut iliyo kwenye desktop kwa prog--open with--then nikachagua 1 kati ya program zangu.. Baada ya hapo kila program kwenye pc inarecomend kufunguka...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
  • Poll Poll
This is part of the project linked below. Name Suggested in that thread are: TINGATINGA MEDIA PLAYER (TT or TMP) by chilubi Mzalendo Media Player by genius Kasuku Player by kotinkarwak...
3 Reactions
34 Replies
3K Views
Naombeni mnijuze hizi port kama zinapatikana Dar ,na kama zinautofauti kwa namba au zote zinafanana Nina LG flat screen yenye hiyo port,Dell n 5040 na simu tajwa hapo juu.kila kaduka ka muhindi...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakuu nisaidieni...hivi nikitaka kurecharge voucher kwenye moderm ya airtel nafanyaje? Mbona haina writing pad au sehemu ya kurecharge hata star au harsh key hazionekani kila mara nilazima nitoe...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
salaam,nimepata shida na laptop yangu ya Hp pavilion dv6,nikiwasha kuna taa mbili ya Num lock na Caps lock ndio zinawaka lakini screen haiwaki inakuwa nyeusi tu.hizi caps lock na Num lock zina...
0 Reactions
1 Replies
852 Views
Habari wanajamii forums!! Nimea update smiu yangu NOKIA C3-00 toka V 4.‎‏ kwena V 8.7 lakini tatizo limekuaj kuwa baada ya update hiyo application nilizokuwa natumia kama OPERA MINI...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom