Msaada kuhusu flash ambayo ni write protected

SG8

JF-Expert Member
Dec 12, 2009
3,926
2,000
Wakubwa habari ya Boxing day.
Nina tatizo la flsha disc yangu. Sijui imekuwaje lakini haitaki kuchukua files (Ukitaka kusave) pamoja na tatizo la kufunguka. Ukitaka kusave document inakwambia write protected. Sijui ni ushamba wangu lakini naombamwenye ujuzi anisaidie namna ya kuondoa hiyo "write protection.

Thanx
 

Isaac Chikoma

JF-Expert Member
Oct 25, 2011
475
250
kuna ambazo huwa zina kama kaswitch kwa pembeni,kanatumika kulock au unlock,kana haina,flash ndo imekwisha muda wake,itakuwa na bad memory sectors.
 

ellyrehema

JF-Expert Member
Jan 13, 2012
1,199
2,000
Usitafute ingine kuna jinsi ya kufanya watu walishaweka humu we tafuta tu
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom