wakongwe na wazoefu natumia simu na nataka kubadili avater pic ya profile yangu je inawezekana na kwa njia ipi?
so easy ingia kwenye setting halafu edit avatar hii sehemu ipo upande wako wa kushoto halafu iclick ikishafunguka upload avatar yako unayo ipenda then save ikishamaliza kuupload..
Mkuu nimeitafuta sana sehemu yaku edit avater sijaiona nawala hakuna kitu kuedit kwenye avater