Msaada,joiku hotspot

Msaada,joiku hotspot

Parata

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2011
Posts
3,090
Reaction score
693
Naitaji joiku hotspot premium coz aloweka humu bwana chief mkwawa ni light nimeidownload kwenye simu yangu ya symbian iyo light haipg kaz,naitaj premium au kama kuna aplication ingne ya kufanya simu yangu iwe wifi
 
mbona mm nli download ktoka ovi na ina piga kaz japo ni light.......

Kama inakataa jaribu labda hzi
HANDY WII

BOINGO WI

Boss kwangu juiku inazngua kwenye tablet haidetect, ila kwenye pc inakubali, hzi mbili ulizoziweka zmegoma kudetect kote kote. Msaada tafadhali
 
Boss nimeidownload vzuri na inakubali kwa pc ila kwenye tablet bado inazngua sa cjui nfanyaje hapo?

Tablet yako haina tatizo? jaribu kuconetct kwa tablet nyengine
 
Kwenye simu mbna haikubali nimeidownload ila inakataa ku start wif we umefaneje?
 
Naitaji joiku hotspot premium coz aloweka humu bwana chief mkwawa ni light nimeidownload kwenye simu yangu ya symbian iyo light haipg kaz,naitaj premium au kama kuna aplication ingne ya kufanya simu yangu iwe wifi

Pitia HAPA kisha pitia post ya chief mkwawa nategemea utatatua tatizo lako
 
Tablet yako haina tatizo? jaribu kuconetct kwa tablet nyengine

Inawezekana pia hai support ad hoc mfano blackberry nyingine hazi support ad hoc connection ambayo ndiyo inatumika kwenye joikuspot ku establish
 
Nkitumia hotspot nyngne za cm kama samsung galaxy napga mzgo poa ila hii cjui kwa nini
 
Back
Top Bottom