Wale wataalam wa pc tuonane hapa.

Wale wataalam wa pc tuonane hapa.

Hansy wa East

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2012
Posts
446
Reaction score
232
Wadau nimepata window 8 ila ni ya kudownload sasa naombeni ushauri ni nzuri ili niiweke kwenye machine?
 
Kama umepata kwenye vyanzo vya uhakika afu wakati una download pc yako ilikuwa na powerfull anti virus waweza iweka ila kazi ipo kwenye kuactivate kaka!!!!
 
Wadau nimepata window 8 ila ni ya kudownload sasa naombeni ushauri ni nzuri ili niiweke kwenye machine?

Pia machine yako iwe angalau ina processor kuanzia 2005 kwendelea la sivyo w8 haitaingia. Activation we tafuta utazipata. Hii kitu iko murua sana na ina speed wakati wa kuwasha na kuzima hata interface imetulia
 
Back
Top Bottom